Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vibarua wa usafi Bunda wagoma

Sehemu ya mji mdogo wa Bunda, mkoani Mara.VIBARUA wanaofanya usafi katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Bunda, katika Mkoa wa Mara, wamegoma kuendelea na kazi hiyo kutokana na kutokulipwa mshahara wao kwa muda wa miezi miwili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Vibarua wa usafi Singida wagoma kushinikiza ujira wa toka Novemba

DSC04887

Baadhi ya wanawake walioajiriwa kufanya kazi kwa muda ya kuufanyia usafi mji wa Singida,wakiwa wamelundikana katika ofisi ya makao makuu ya manispaa ya Singida,baada ya kuambiwa hakuna fedha za kulipa ujira wao kuanzia Novemba mwaka jana hadi Machi 31 mwaka huu.

Na Nathaniel Limu, Singida

VIBARUA wanawake 15 walioajiriwa kufanya kazi ya usafi kwa muda na manispaa ya Singida,wamegoma kuendelea kufanya usafi hadi hapo watakapolipwa ujira/posho yao kuanzia novemba mwaka jana hadi machi 31...

 

9 years ago

Habarileo

Wazee Bunda washerehekea mwaka mpya kwa usafi

WAZEE wa Kata ya Nyamuswa, wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kupitia umoja wao ujulikanao kwa jina la Umoja wa Wazee wa Maendeleo Kata ya Nyamuswa, juzi walisherehekea mwaka mpya wa 2016 kwa kufanya usafi wa mazingira na kujenga chumba cha maiti katika Kituo cha Afya Ikizu.

 

10 years ago

Habarileo

Wakerwa wanafunzi kuwa vibarua

WANANCHI katika kijiji cha Karukekere wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha wanafunzi wa Shule ya Msingi Karukekere, kudaiwa kufanyishwa kazi za vibarua vya kulima na kazi nyingine na walimu wa shule hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Saudi Arabia yakataza vibarua juani

Saudi Arabia yabadilisha sheria kukataza vibarua kufanya kazi katika jua kali

 

9 years ago

Habarileo

DC aingilia madai ya vibarua wasambaza umeme

MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Wilson Mkambaku ametoa siku 30 kwa kampuni za Angelique International Ltd na East African Electrical Power zinazodaiwa kuwatapeli wafanyakazi wake, kuhakikisha zinalipa Sh milioni 720 wanazodai wafanyakazi hao.

 

11 years ago

Habarileo

Mtumishi wa Mtibwa Sugar mbaroni akiwa na ‘vibarua’ 55

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kibondo, ambaye ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Venance MwamotoMFANYAKAZI wa Kiwanda cha Sukari Mtibwa cha mkoani Morogoro, Adam Danford amekamatwa mkoani hapa, akituhumiwa kusafirisha vijana 55 kutoka wilayani Kibondo kwenda kufanya kazi kwenye mashamba ya miwa kiwanda humo.

 

10 years ago

GPL

NASIBU ABDUL ALISHAFANYA VIBARUA ILI APATE FEDHA YA CHAKULA

Na Mwandishi Wetu ANAITWA Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond. Alizaliwa saa kumi na moja jioni ya Oktoba 2, 1989 katika Hospitali ya Amana iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Wazazi wake walimpa jina la Nasibu wakiamini ni la bahati. Mkali wa Bongo fleva, Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond akipozi. Diamond aliongea hivi karibuni na safu hii ya Mjue Huyu ambapo aliweka wazi mambo mengi ya maisha yake....

 

10 years ago

Vijimambo

NASIBU ABDUL "DIAMOND" ALISHAFANYA VIBARUA ILI APATE FEDHA YA CHAKULA

Na Mwandishi Wetu GPL
ANAITWA Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond. Alizaliwa saa kumi na moja jioni ya Oktoba 2, 1989 katika Hospitali ya Amana iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Wazazi wake walimpa jina la Nasibu wakiamini ni la bahati.

Diamond aliongea hivi karibuni na safu hii ya Mjue Huyu ambapo aliweka wazi mambo mengi ya maisha yake. Diamond akiwa hajapata ufahamu, yaani bado mdogo, wazazi wake walitengana kwa sababu ambazo bado hazijawa wazi na baba yake kumuacha na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani