DC aingilia madai ya vibarua wasambaza umeme
MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Wilson Mkambaku ametoa siku 30 kwa kampuni za Angelique International Ltd na East African Electrical Power zinazodaiwa kuwatapeli wafanyakazi wake, kuhakikisha zinalipa Sh milioni 720 wanazodai wafanyakazi hao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 May
Wasambaza umeme wa REA wapewa siku 7
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene ametoa muda wa siku saba kwa makandarasi wote nchini wanaotekeleza Mradi wa kusambaza Umeme Vijijini kuhakikisha wanasimamisha nguzo walizorundika maeneo ya vijijini na bila kufanya hivyo watafutiwa vibali.
9 years ago
StarTV02 Dec
Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure
Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure
Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.
Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Wasambaza picha za ngono kufungwa miaka saba jela
10 years ago
Habarileo26 Nov
Wakerwa wanafunzi kuwa vibarua
WANANCHI katika kijiji cha Karukekere wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha wanafunzi wa Shule ya Msingi Karukekere, kudaiwa kufanyishwa kazi za vibarua vya kulima na kazi nyingine na walimu wa shule hiyo.
10 years ago
Habarileo10 Oct
Vibarua wa usafi Bunda wagoma
VIBARUA wanaofanya usafi katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Bunda, katika Mkoa wa Mara, wamegoma kuendelea na kazi hiyo kutokana na kutokulipwa mshahara wao kwa muda wa miezi miwili.
11 years ago
BBCSwahili15 Jun
Saudi Arabia yakataza vibarua juani
11 years ago
Habarileo24 Mar
Mtumishi wa Mtibwa Sugar mbaroni akiwa na ‘vibarua’ 55
MFANYAKAZI wa Kiwanda cha Sukari Mtibwa cha mkoani Morogoro, Adam Danford amekamatwa mkoani hapa, akituhumiwa kusafirisha vijana 55 kutoka wilayani Kibondo kwenda kufanya kazi kwenye mashamba ya miwa kiwanda humo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycM1eV-4ZVcbeO0KTmxZj-DxIRrQP9SHaCeQxK5g3AdtbI*E4QKgcyT-4Mn8JrIoWJHZGGg4PgiaXblhwaNGzX6C/DIAMOND.gif?width=650)
NASIBU ABDUL ALISHAFANYA VIBARUA ILI APATE FEDHA YA CHAKULA
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Vibarua wa usafi Singida wagoma kushinikiza ujira wa toka Novemba
Na Nathaniel Limu, Singida
VIBARUA wanawake 15 walioajiriwa kufanya kazi ya usafi kwa muda na manispaa ya Singida,wamegoma kuendelea kufanya usafi hadi hapo watakapolipwa ujira/posho yao kuanzia novemba mwaka jana hadi machi 31...