Watoto waajiriwa kwa ujira wa ndama
BAADHI ya watoto wilayani Nkasi, Rukwa hasa maeneo ya vijijini, wamekuwa wakiajiriwa na familia za wafugaji kwa ujira wa ndama mmoja kwa mwaka. Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa habari hizi,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Sep
Polisi yanasa wanne kwa tuhuma za kuua kwa ujira
POLISI mkoani Kagera, inashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukodiwa kufanya mauaji yanayohusisha imani za kishirikina.
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Jul
Toeni semina elekezi kwa waajiriwa wapya- Dk. Nchimbi
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA
WAKUU wa Idara za Raslimali watu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa, wametakiwa kuhakikisha watumishi wanaoajiriwa kwa mara ya kwanza katika halmashauri zao, wanapewa mafunzo elekezi ndani ya miezi sita tangu kuajiriwa kwao.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi, alitoa wito huo jana, wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimali Watu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Alifungua mkutano huo kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
9 years ago
StarTV18 Dec
Serikali yashauriwa kuanzisha benki kwa waajiriwa binafsi ya mikopo
Serikali imeshauriwa kuanzisha benki ya Vijana ambayo itatoa mikopo kwa vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi pamoja na wasomi mbalimbali wanaotaka kujiajiri wenyewe.
Kukosekana kwa benki hiyo na taasisi za kifedha zinazohudumia vijana kunatajwa kuwa miongoni mwa changamoto inayodumaza hali ya uchumi wa Taifa kutokana na asilimia kubwa ya nguvu kazi ya vijana kutotumika ipasavyo baada ya vijana wengi kukosa ajira katika sekta rasmi.
Asilimia kubwa ya vijana kwa sasa tatizo lao si elimu –...
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Jaji Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na waajiriwa
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akifungua mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo unalenga kuangalia na kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali zinazohusu maslahi ya wafanyakazi na mashauri yanayopelekwa mahakama Kuu Divisheni ya Kazi nchini.
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Malipo, makato ya ujira kisheria
KATIKA makala zangu za huko nyuma niliwahi kuzungumzia juu ya haki mbalimbali za wafanyakazi kwa mujibu wa sheria kama zilivyoainishwa, zinazoratibu mambo ya ajira hapa nchini. Kwa ufupi niliwahi kuzungumzia...
9 years ago
Habarileo21 Aug
Ujira sekta isiyo rasmi kuboreshwa
SERIKALI imesema inaendelea kuangalia namna ya kuboresha mishahara kwa wafanyakazi wa sekta isiyo rasmi wapate manufaa ambayo yataweza kubadilisha maisha yao kutoka hatua moja hadi nyingine. Baadhi ya sekta zinazoangaliwa ni pamoja na wajenzi, wafanyakazi wa saluni na madereva wa muda mfupi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9whBoo1pTWNapwI0SlUIHt5GlwnvDqfl04yqEK8tuhpDRSk6itTx4qH-ZK9qcok83z5--vqX-*vqnoN0HpPRMw0UqtXlyiJ3/Manuel_Pellegrini_2767052b.jpg?width=650)
PELLEGRINI ATAPATAPA KUTETEA UJIRA WAKE MANCITY
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Vibarua wa usafi Singida wagoma kushinikiza ujira wa toka Novemba
Na Nathaniel Limu, Singida
VIBARUA wanawake 15 walioajiriwa kufanya kazi ya usafi kwa muda na manispaa ya Singida,wamegoma kuendelea kufanya usafi hadi hapo watakapolipwa ujira/posho yao kuanzia novemba mwaka jana hadi machi 31...
11 years ago
Tanzania Daima01 May
11,000 waajiriwa sekta ya afya
SERIKALI imeajiri watumishi 11,221 wa sekta ya afya nchini kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2013/2014 idadi inayoelezwa kuwa kubwa katika historia ya Tanzania. Naibu Waziri wa Afya na Ustawi...