PELLEGRINI ATAPATAPA KUTETEA UJIRA WAKE MANCITY
Kocha Mkuu wa Manchester City Manuel Pellegrini. Kikosi cha timu ya soka cha Manchester City. Kocha Mkuu wa kilabu ya soka ya Manchester City Manuel Pellegrini amesisitiza kuwa kilabu yake haiko katika mgogoro aidha baina ya wachezaji au viongozi wake. Pellegrini ambaye ni raia wa Chile anatapatapa kutetea ujira wake katika klabu hiyo kama mkufunzi huku timu yake ikitarajia kukipiga na Manchester United siku ya jumapili ya April...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili11 Aug
Pellegrini:ManCity itatetea taji lake
10 years ago
BBCSwahili11 Apr
Pellegrini:Mancity haipo katika mgogoro
10 years ago
Michuzi20 Dec
BONDIA MAOKOLA AMDUNDA MKALAKALA KWA K,O YA RAUNDI YA 7 NA KUTETEA MKANDA WAKE
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Malipo, makato ya ujira kisheria
KATIKA makala zangu za huko nyuma niliwahi kuzungumzia juu ya haki mbalimbali za wafanyakazi kwa mujibu wa sheria kama zilivyoainishwa, zinazoratibu mambo ya ajira hapa nchini. Kwa ufupi niliwahi kuzungumzia...
9 years ago
Habarileo21 Aug
Ujira sekta isiyo rasmi kuboreshwa
SERIKALI imesema inaendelea kuangalia namna ya kuboresha mishahara kwa wafanyakazi wa sekta isiyo rasmi wapate manufaa ambayo yataweza kubadilisha maisha yao kutoka hatua moja hadi nyingine. Baadhi ya sekta zinazoangaliwa ni pamoja na wajenzi, wafanyakazi wa saluni na madereva wa muda mfupi.
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Watoto waajiriwa kwa ujira wa ndama
BAADHI ya watoto wilayani Nkasi, Rukwa hasa maeneo ya vijijini, wamekuwa wakiajiriwa na familia za wafugaji kwa ujira wa ndama mmoja kwa mwaka. Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa habari hizi,...
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Vibarua wa usafi Singida wagoma kushinikiza ujira wa toka Novemba
Na Nathaniel Limu, Singida
VIBARUA wanawake 15 walioajiriwa kufanya kazi ya usafi kwa muda na manispaa ya Singida,wamegoma kuendelea kufanya usafi hadi hapo watakapolipwa ujira/posho yao kuanzia novemba mwaka jana hadi machi 31...
10 years ago
Habarileo13 Sep
Polisi yanasa wanne kwa tuhuma za kuua kwa ujira
POLISI mkoani Kagera, inashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukodiwa kufanya mauaji yanayohusisha imani za kishirikina.
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Pellegrini:''Guardiola hanitishi''