Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Toeni semina elekezi kwa waajiriwa wapya- Dk. Nchimbi


NA THEODOS MGOMBA, DODOMA
WAKUU wa Idara za Raslimali watu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa, wametakiwa kuhakikisha  watumishi wanaoajiriwa kwa mara ya kwanza katika halmashauri zao, wanapewa mafunzo elekezi ndani ya miezi sita tangu kuajiriwa kwao.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi, alitoa wito huo jana, wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimali Watu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Alifungua mkutano huo  kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

DC aagiza semina elekezi kwa wenyeviti

MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga, Methew Sedoyeka amewaagiza wakurugenzi watendaji wa Halmashauri ya Manispaa na Wilaya hiyo kuandaa semina elekezi kwa wenye viti wa serikali za vijiji, vitongoji na mitaa ili waweze kutambua majukumu yao na kuyatekeleza kwa ufanisi.

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YAFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA MAAFISA WAKE JIJINI DAR LEO

 Maafisa ufuatiliaji wa TASAF wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Ladislaus Mwamanga (aliyeketi katikati) baada ya kufungua semina elekezi jijini DSM  Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga akisisitiza jambo wakati alipofungua semina elekezi kwa maafisa ufuatiliaji (TA) iliyofanyika kwenye ukumbi wa CEEMI jijini DSM.  Baadhi ya Maafisa ufuatiliaji ambao wanatarajiwa kuanza kazi katika halmashauri kadhaa za wilaya nchini wakimsikiliza mkurugenzi...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAENDESHA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA SOKA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2014‏

Meneja Matukio wa Airtel Tanzania Rebeca Mauma akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya washiriki wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa makini moja ya mada zilizowasilishwa kwenye semina hiyo iliyofanyika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa… ...

 

10 years ago

GPL

KATIBU CCM MKOA WA DAR AZINDUA SEMINA ELEKEZI KWA MABALOZI WA MASHINA YA KATA YA VITUKA JIMBO LA TEMEKE‏

 Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu, akizungumza na mabalozi  wa mashina ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  Kata ya Vituka Jimbo lake, ambapo mgeni Rasmi wa semina ya mabalozi hao alikuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam  Abillahi Mihella.   Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Miburani Ally… ...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YAWATAKA WAAJIRIWA WAPYA KUWAJIBIKA, KUCHAPA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof.Mohamed Janabi akizungumza na waajiriwa wapya saba walioajiriwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na kupangiwa kutoa huduma katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na waajiriwa wapya saba walioajiriwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waajiriwa wapya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo watakiwa kuwa waadilifu

1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiongea kwa msisitizo kuhusu maadili ya Utumishi wa Umma wakati wa ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.

2

Mkurugenzi wa Utawala na Menejimenti ya Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Barnabas Ndunguru akifafanua jambo wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Wizara hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa...

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WAPEWA SEMINA ELEKEZI

Wakuu wa Majengo wakiwa na vyeti vyao mara baada ya mafunzo. Waliokaa kuanzia kushoto ni Bw. Godfred Mbanyi mwezeshaji kutoka Bodi ya Watalaam wa Ununuzi na Ugavi, akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Marina Alois Njelekela, Dkt. Clemcence Tesha ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Watalaam wa Ununuzi na Ugavi akifuatiwa na Bi. Agnes Mtawa ambaye ni Mwenyekiti wa Tenda Bodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili. Wakuu wa Idara mbalimbali za Hospitali wakiwa...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEFUE AONGOZA SEMINA ELEKEZI YA SIKU MOJA KWA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU LEO

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 2, 2015 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam. Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi...

 

10 years ago

Ykileo

DIT YAFANYA SEMINA ELEKEZI YA UFAHAMU WA MASWALA YA USALAMA MTANDAO

Swala la kukuza uelewa wa matumizi mtandao salama maarufu kama  “Cybersecurity Awareness programs” imekua iki himizwa sana kwani uhalifu mtandao unaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa sana pale watumiaji watakapo pata ufahamu wa kina wa matumizi salama wa mitandao.


Swala hili limekua liki imizwa sana na mataifa mbali mbali ili kuhakiki matumizi salama ya mitandao yanakuwepo na hatimae kupunguza wimbi kubwa la uhalifu mtandao unao endelea kukua hivi sasa. Katika kuonyesha umuhimu wa swala hili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani