Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wa leseni kurejeshewa makato

Kassim MajaliwaWALIMU wa leseni walioajiriwa na Serikali na kupewa mafunzo ya awali na ya ualimu ya muda wa mwezi mmoja, waliokatwa mshahara wao kwa ajili ya kuchangia Chama cha Walimu Tanzania (CWT), watarudishiwa makato hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Na   Bashir     Yakub
Katika  makala  iliyopita  nilisema  kuwa  vijana  wengi   wajasiriamali  wanaofungua   biashara  za  makampuni   wanao  uwezo  mkubwa   wa kufika mbali   isipokuwa  tatizo  lao  ni  taarifa za  mambo  mbalimbali   kuhusu uendeshaji  wa  kampuni   hizo. 
 Mambo  ya uendeshaji   wa  kampuni  ni  mepesi sana  na  yanawezwa   na  mtu  yeyote isiopokuwa   tatizo   ni   taarifa   na  elimu ya  namna  ya  uendeshaji  kisheria   ili   kampuni   ionekane  ni kampuni.  Nilieleza...

 

11 years ago

Mwananchi

Toyota Dar nayo kurejeshewa magari

Wamiliki wa magari ya Toyota nchini wametakiwa kuhakiki magari yao na kuyarejesha kwa uchunguzi yale yatakayobainika kuwa na hitilafu za kiufundi katika mfumo wa baadhi ya vifaa vyake.

 

9 years ago

StarTV

Wananchi kurejeshewa mashamba ACT wakiingia madarakani

Katika harakati za kampeni zinazoendelea kote nchini za kutafuta Rais wabunge pamoja na madiwani vyama mbalimbali vya kiasiasa vinavyotafuta uongozi kupita kwa wagombea wake vimezidi kutoa sera zao kuomba kura kwa wananchi ambapo chama cha ACT wazalendo kimesema kitarejesha ardhi kwa wananchi.

Mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo Anna Mgwila ameahidi kuwa endapo atachaguliwa atahakikisha anayarudisha kwa wananchi mashamba yote ambayo Serikali iliwapa wawekezaji na kuwasababishia...

 

5 years ago

Michuzi

MPANGAJI ANAYELIPA KODI YA ZUIO ANAPASWA KUREJESHEWA NA MWENYE NYUMBA

Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dodoma

Serikali imesema kuwa Sheria ya Kodi ya Mapato inaruhusu mpangaji wa nyumba ya biashara kusajiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania na kuwa Wakala wa ukusanyaji wa Kodi ya Zuio (Withholding Tax) hivyo kuwa sehemu ya mlipaji wa kodi ya pango.

Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Pauline Gekul, aliyetaka kujua lini Serikali itabadili...

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani walalamikia makato benki

>Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga wamelalamikia makato ya madeni yao kwenye Benki ya CRDB Tawi la Kahama kwa madai wanakatwa bila kufuata utaratibu wa mkataba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malipo, makato ya ujira kisheria

KATIKA makala zangu za huko nyuma niliwahi kuzungumzia juu ya haki mbalimbali za wafanyakazi kwa mujibu wa sheria kama zilivyoainishwa, zinazoratibu mambo ya ajira hapa nchini. Kwa ufupi niliwahi kuzungumzia...

 

10 years ago

Mwananchi

TRL walalamikia makato ya bima

Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), wameulalamikia uongozi wao kwa kuwakata fedha kwa ajili ya bima ya afya, lakini makato hayo kutopelekwa kwa wakati na kusababisha wakataliwe kutibiwa hospitalini.

 

10 years ago

Mwananchi

Suala la makato lahojiwa bungeni

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amesema hakuna tofauti ya makato ya kodi ya mishahara inayoweza kutokea baina ya wafanyakazi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani