Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Suala la makato lahojiwa bungeni

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amesema hakuna tofauti ya makato ya kodi ya mishahara inayoweza kutokea baina ya wafanyakazi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TRL walalamikia makato ya bima

Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), wameulalamikia uongozi wao kwa kuwakata fedha kwa ajili ya bima ya afya, lakini makato hayo kutopelekwa kwa wakati na kusababisha wakataliwe kutibiwa hospitalini.

 

11 years ago

Habarileo

Walimu wa leseni kurejeshewa makato

Kassim MajaliwaWALIMU wa leseni walioajiriwa na Serikali na kupewa mafunzo ya awali na ya ualimu ya muda wa mwezi mmoja, waliokatwa mshahara wao kwa ajili ya kuchangia Chama cha Walimu Tanzania (CWT), watarudishiwa makato hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani walalamikia makato benki

>Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga wamelalamikia makato ya madeni yao kwenye Benki ya CRDB Tawi la Kahama kwa madai wanakatwa bila kufuata utaratibu wa mkataba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malipo, makato ya ujira kisheria

KATIKA makala zangu za huko nyuma niliwahi kuzungumzia juu ya haki mbalimbali za wafanyakazi kwa mujibu wa sheria kama zilivyoainishwa, zinazoratibu mambo ya ajira hapa nchini. Kwa ufupi niliwahi kuzungumzia...

 

11 years ago

Habarileo

Wakulima wahoji makato kwa Dola

WAKULIMA wa kahawa mkoani Kigoma wameitaka serikali mkoani humo kutatua tatizo la makato kwa mfumo wa Dola ya Marekani wakati wa mauzo yanayofanywa na Bodi ya Kahawa nchini.

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi watakiwa kufuatilia makato yao



Mkurugenzi wa Utafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi.
Na Mwandishi wetu, DodomaWANACHAMA wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii wametakiwa kufuatilia makato yao kwa kuwa baadhi ya waajiri wanachelewa kupeleka makato yao. Mbali na hilo, waajiri wa mmetakiwa kutowalazimisha wafanyakazi wao kujiunga na mfuko wasioupenda badala yake wapewe nafasi ya kujieleza. Kauli hiyo, ilitolewa jana na Ofisa Tehama wa Mamlaka ya Usimamizi na...

 

10 years ago

Mwananchi

TFF, klabu wapeana muda kujadili makato

 Suala la makato ya asilimia tano kwa klabu za Ligi Kuu limechukua sura mpya baada ya kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na klabu kuomba muda zaidi kulitafakari.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndumbaro aivimbia kamati TFF makato ya asilimia tano

Mwanasheria wa Bodi ya Ligi, Dk Damas Ndumbaro ameigomea Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambayo ilipanga kumweka kitimoto leo kwa tuhuma za kuzitetea klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza kuhusu makato ya asilimia tano ya fedha za wadhamini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani