Wafanya usafi walalamikia madereva wanaokiuka sheria
Baadhi ya wanawake wanaofanya usafi katika jiji la Mwanza wamewalalamikia madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani kwa kuendesha magari wakiwa wamelewa na wengine kuendesha kwa mwendo kasi licha ya kuwekewa alama za usalama barabarani.
Katikati ya jiji la Mwanza jua ni kali, usafi wa barabara unaendelea ambao ni miongoni mwa vigezo vya maendeleo kwa sababu mazingira safi ambayo yanapunguza magonjwa lakini hali hiyo inadaiwa kuhatarisha usalama wa wanawake hao wakati wa kufagia...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Oct
RC awaonya wagombea wanaokiuka sheria
10 years ago
Mtanzania11 May
Nyalandu awaonya wanaokiuka sheria
NA MWANDISHI WETU, BUSEGA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema atawachukulia hatua watendaji wa wizara yake wanaofanya kazi kwa kukiuka sheria za kazi.
Amesema kwamba, kama watumishi hao wanadhani hana mamlaka ya kuwachukulia hatua, wanatakiwa kujua uwezo huo anao kwa mujibu wa sheria.
Kutokana na hali hiyo, amewataka wananchi wakiwamo wafugaji, wamfikishie taarifa sahihi za watendaji wanaokiuka sheria kwa kuwatoza faini kinyume cha sheria ili aweze kuwachukulia...
11 years ago
Mwananchi08 May
Walalamikia usafi wa soko Kariakoo
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Madereva walalamikia mzani Singida
MADEREVA wa magari makubwa ya mizigo na abiria wamelalamikia mzani uliopo mjini Singida katika barabara kuu ya kutoka Mwanza kuelekea jijini Dar es Salaam kwa madai kuwa ni mbovu. Wakizungumza...
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Polisi wafanya usafi hospitalini
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Madiwani wafanya ziara ya usafi
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro wamefanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Mpanda yenye lengo la kujifunza wenzao walivyofanikiwa kuwa mshindi wa kwanza wa usafi ...
9 years ago
Michuzi09 Dec
WAFANYAKAZI HOSPITALI YA MUHIMBILI WAFANYA USAFI
![VE1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/VE1.jpg)
![VE2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/VE2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9Y1N-PLRYmU/VbOZdFLO-SI/AAAAAAAHry0/XDZN0F1Zk7k/s72-c/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
WANANFUNZI WA SHULE YA MSINGI KAKUNI WAFANYA USAFI SHULENI KWAO
![](http://3.bp.blogspot.com/-9Y1N-PLRYmU/VbOZdFLO-SI/AAAAAAAHry0/XDZN0F1Zk7k/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-mign9fgeeXQ/VbOZd-je82I/AAAAAAAHry4/Zd6w9rmZfek/s640/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
9 years ago
StarTV31 Dec
Wakazi Wilaya ya Mbogwe Geita wafanya usafi kujikinga Ya Kipindupindu Â
Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita Mariam Lugaila ameongoza wananchi kutekeleza agizo la mkuu wa mkoa huo Fatma Mwasa la kufanya usafi.
Lengo ni kuhakikisha kila wilaya inajikinga na ugonjwa wa kipindupindu ambao umeshaingia mkoani humo.
Zoezi la usafi limefanyika katika eneo la sokoni na stendi ya mabasi mjini Masumbwe wananchi wote wakihimizwa kufanya usafi majumbani na maeneo ya kazi sambamba na kuchimba vyoo na kuvitumia.
Mkuu wa wilaya ya mbogwe Bi Mariamu Lugaila Amesema Rais John...