Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC awaonya wagombea wanaokiuka sheria

Uongozi wa Mkoa wa Shinyanga umewaonya baadhi ya wagombea wanaodaiwa kutembea na silaha za jadi kwenye magari yao kuwa watachukuliwa hatua kwa kukiuka sheria na taratibu za Uchaguzi Mkuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Nyalandu awaonya wanaokiuka sheria

nyalanduNA MWANDISHI WETU, BUSEGA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema atawachukulia hatua watendaji wa wizara yake wanaofanya kazi kwa kukiuka sheria za kazi.
Amesema kwamba, kama watumishi hao wanadhani hana mamlaka ya kuwachukulia hatua, wanatakiwa kujua uwezo huo anao kwa mujibu wa sheria.
Kutokana na hali hiyo, amewataka wananchi wakiwamo wafugaji, wamfikishie taarifa sahihi za watendaji wanaokiuka sheria kwa kuwatoza faini kinyume cha sheria ili aweze kuwachukulia...

 

10 years ago

Mtanzania

Msajili awaonya wanasiasa wanaokiuka makubaliano

mutungiNa Mauli Muyenjwa, Dar es Salaam

MSAJILI wa Vyama vya Siasa,  Francis Mutungi amesema  licha ya  uchaguzi wa mwaka huu kughubikwa na ushindani, muda muafaka ukifika rungu litawadondokea wanasiasa wanaokwenda kinyume na makubaliano waliyoyasaini.

Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam  jana wakati wa uzinduzi wa mafunzo kwa mawakala wa usimamizi wa vyama vya siasa ya kuwaandaa katika uchaguzi mwaka wa mwaka huu.

“ Tuelewe kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi, wanasiasa wafanye amani iwe kipaumbele...

 

10 years ago

StarTV

Wafanya usafi walalamikia madereva wanaokiuka sheria

 

Baadhi ya wanawake wanaofanya usafi katika jiji la Mwanza wamewalalamikia madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani kwa kuendesha magari wakiwa wamelewa na wengine kuendesha kwa mwendo kasi licha ya kuwekewa alama za usalama barabarani.

Katikati ya jiji la Mwanza jua ni kali, usafi wa barabara unaendelea ambao ni miongoni mwa vigezo vya maendeleo kwa sababu mazingira safi ambayo yanapunguza magonjwa lakini hali hiyo inadaiwa kuhatarisha usalama wa wanawake hao wakati wa kufagia...

 

10 years ago

GPL

RAZA AWAONYA WAGOMBEA URAIS KUTOTUMIA RUSHWA

Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,  Mohamed Raza (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani),  kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Vincent Tiganya. Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanaokiuka haki za binadamu wabanwe’

SERIKALI imetakiwa kutoona haya kuwachukulia hatua watu wanaobainika kukiuka haki za binadamu kwa wananchi kwa kujichukulia sheria mkononi. Askofu mstaafu wa Kanisa la Evanjilist Assemblies of God of Tanzania (EAGT),...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wanaokiuka kutoa taarifa waonywa


NA RACHEL KYALA
KIONGOZI yeyote atakayeshindwa kurejesha fomu za tamko la Rasilimali na Madeni ya Viongozi katika muda uliowekwa, anapaswa kutambua kuwa hilo ni kosa na ukiukwaji wa Maadili ya Viongozi wa Umma, imeelezwa.
Taarifa kwa Umma iliyotolewa na Kamishna wa Maadili, imesema  viongozi wa umma wanapaswa kujua kuwa si wajibu wa kisheria kwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi kuwapelekea viongozi fomu hizo.
Aidha kupitia taarifa hiyo wametakiwa kuzingatia kuwa ni wajibu wa kiongozi husika...

 

10 years ago

Habarileo

JK ataka wanaokiuka maadili kuwajibishwa

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amesema ni lazima watumishi wa umma wanaokiuka maadili ya utumishi wa umma wawajibishwe ili iwe fundisho kwao na kwa wengine.

 

11 years ago

Habarileo

Chadema yaonya viongozi wanaokiuka katiba

CHAMA cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema ) kimewaonya viongozi wake, wakiwemo wabunge kuwa hakitasita kuwachukulia hatua za kinidhamu iwapo watabainika kwenda kinyume na Katiba na taratibu za chama hicho.

 

9 years ago

Global Publishers

Chama Cha Wahasibu Kuwafuta Wanaokiuka Maadili

1.Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa chama cha wahasibu Tanzania,George Binde, Mwenyekiti,  Fred M. Msemwa, Secretary, Dyoya D. James na Mtendaji mkuu wa chama hicho, Valerian Rweyemamu Kaijage.Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa chama cha wahasibu Tanzania, George Binde, Mwenyekiti, Fred M. Msemwa, Secretary, Dyoya D. James na Mtendaji Mkuu, Valerian Rweyemamu Kaijage.2.Msemwa (katikati) akitoa ufafanuzi wa jambo.Msemwa (katikati) akitoa ufafanuzi wa jambo.3.Viongozi hao wakitafakari kujibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari ( hawap pichani).Viongozi hao wakitafakari kujibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari ( hawapo pichani).4.Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.

Chama cha Wahasibu Tanzania ‘TAA’  kimesema kuwa kitawafuta katika daftari lake  la uanachama wahasibu wanaokiuka maadili ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani