Nyalandu awaonya wanaokiuka sheria
NA MWANDISHI WETU, BUSEGA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema atawachukulia hatua watendaji wa wizara yake wanaofanya kazi kwa kukiuka sheria za kazi.
Amesema kwamba, kama watumishi hao wanadhani hana mamlaka ya kuwachukulia hatua, wanatakiwa kujua uwezo huo anao kwa mujibu wa sheria.
Kutokana na hali hiyo, amewataka wananchi wakiwamo wafugaji, wamfikishie taarifa sahihi za watendaji wanaokiuka sheria kwa kuwatoza faini kinyume cha sheria ili aweze kuwachukulia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Oct
RC awaonya wagombea wanaokiuka sheria
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Msajili awaonya wanasiasa wanaokiuka makubaliano
Na Mauli Muyenjwa, Dar es Salaam
MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Francis Mutungi amesema licha ya uchaguzi wa mwaka huu kughubikwa na ushindani, muda muafaka ukifika rungu litawadondokea wanasiasa wanaokwenda kinyume na makubaliano waliyoyasaini.
Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa mafunzo kwa mawakala wa usimamizi wa vyama vya siasa ya kuwaandaa katika uchaguzi mwaka wa mwaka huu.
“ Tuelewe kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi, wanasiasa wafanye amani iwe kipaumbele...
9 years ago
StarTV21 Sep
Wafanya usafi walalamikia madereva wanaokiuka sheria
Baadhi ya wanawake wanaofanya usafi katika jiji la Mwanza wamewalalamikia madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani kwa kuendesha magari wakiwa wamelewa na wengine kuendesha kwa mwendo kasi licha ya kuwekewa alama za usalama barabarani.
Katikati ya jiji la Mwanza jua ni kali, usafi wa barabara unaendelea ambao ni miongoni mwa vigezo vya maendeleo kwa sababu mazingira safi ambayo yanapunguza magonjwa lakini hali hiyo inadaiwa kuhatarisha usalama wa wanawake hao wakati wa kufagia...
10 years ago
Habarileo24 Dec
JK ataka wanaokiuka maadili kuwajibishwa
RAIS Jakaya Kikwete amesema ni lazima watumishi wa umma wanaokiuka maadili ya utumishi wa umma wawajibishwe ili iwe fundisho kwao na kwa wengine.
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
‘Wanaokiuka haki za binadamu wabanwe’
SERIKALI imetakiwa kutoona haya kuwachukulia hatua watu wanaobainika kukiuka haki za binadamu kwa wananchi kwa kujichukulia sheria mkononi. Askofu mstaafu wa Kanisa la Evanjilist Assemblies of God of Tanzania (EAGT),...
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Wanaokiuka kutoa taarifa waonywa
NA RACHEL KYALA
KIONGOZI yeyote atakayeshindwa kurejesha fomu za tamko la Rasilimali na Madeni ya Viongozi katika muda uliowekwa, anapaswa kutambua kuwa hilo ni kosa na ukiukwaji wa Maadili ya Viongozi wa Umma, imeelezwa.
Taarifa kwa Umma iliyotolewa na Kamishna wa Maadili, imesema viongozi wa umma wanapaswa kujua kuwa si wajibu wa kisheria kwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi kuwapelekea viongozi fomu hizo.
Aidha kupitia taarifa hiyo wametakiwa kuzingatia kuwa ni wajibu wa kiongozi husika...
11 years ago
Habarileo25 Jan
Chadema yaonya viongozi wanaokiuka katiba
CHAMA cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema ) kimewaonya viongozi wake, wakiwemo wabunge kuwa hakitasita kuwachukulia hatua za kinidhamu iwapo watabainika kwenda kinyume na Katiba na taratibu za chama hicho.
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Chama Cha Wahasibu Kuwafuta Wanaokiuka Maadili
Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa chama cha wahasibu Tanzania, George Binde, Mwenyekiti, Fred M. Msemwa, Secretary, Dyoya D. James na Mtendaji Mkuu, Valerian Rweyemamu Kaijage.
Msemwa (katikati) akitoa ufafanuzi wa jambo.
Viongozi hao wakitafakari kujibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari ( hawapo pichani).
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Chama cha Wahasibu Tanzania ‘TAA’ kimesema kuwa kitawafuta katika daftari lake la uanachama wahasibu wanaokiuka maadili ya...
11 years ago
Habarileo14 Dec
Wananchi watakiwa kuwafichua viongozi wanaokiuka maadili
SEKRETARIETI ya maadili ya viongozi wa umma Kanda ya Ziwa imewataka wananchi kuwafichua viongozi wa umma wanaojihusisha na vitendo vya ukiukwaji wa maadili.