Wanaokiuka kutoa taarifa waonywa
NA RACHEL KYALA
KIONGOZI yeyote atakayeshindwa kurejesha fomu za tamko la Rasilimali na Madeni ya Viongozi katika muda uliowekwa, anapaswa kutambua kuwa hilo ni kosa na ukiukwaji wa Maadili ya Viongozi wa Umma, imeelezwa.
Taarifa kwa Umma iliyotolewa na Kamishna wa Maadili, imesema viongozi wa umma wanapaswa kujua kuwa si wajibu wa kisheria kwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi kuwapelekea viongozi fomu hizo.
Aidha kupitia taarifa hiyo wametakiwa kuzingatia kuwa ni wajibu wa kiongozi husika...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLLHRC CHATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MWENENDO NA HATUA ZA KISHERIA KWA VIONGOZI WA UMMA WANAOKIUKA MAADILI
10 years ago
Dewji Blog29 Sep
MISA-TAN yaadhimisha siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa na kutoa matokeo ya utafiti wa upatikanaji wa taarifa kwenye ofisi za umma nchini Tanzaniaâ€â€Ž
9 years ago
Habarileo19 Dec
TMA yaahidi kutoa taarifa sahihi
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuwa itaendelea kuboresha utoaji wa taarifa za hali ya hewa nchini kwa kutoa taarifa sahihi na zenye ubora.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Viongozi zingatieni kutoa taarifa sahihi
10 years ago
Mwananchi03 Oct
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Ebola:BBC kutoa taarifa kwa 'WhatsApp'
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YXtNIZ66hlk/XoXoCXCLr9I/AAAAAAALl2k/9XlBkeyXPwgfIIdruSxYnpasJivDWcnxACLcBGAsYHQ/s72-c/46626941_401.jpg)
WANANCHI WASHAURIWA KUTOA TAARIFA SAHIHI ZILIZOTHIBITISHWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-YXtNIZ66hlk/XoXoCXCLr9I/AAAAAAALl2k/9XlBkeyXPwgfIIdruSxYnpasJivDWcnxACLcBGAsYHQ/s640/46626941_401.jpg)
LEO Aprili 2 dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kuhakikisha ukweli wa taarifa juu ya mambo yanayosikika ( World Fact Checking Day) ni siku ya kila mmoja kutafakari juu ya taarifa kuhusu taarifa anayopokea na kuipeleka kwa watu wengine.
Ikiwa ni maadhimisho ya tatu kufanyika mtandao wa uhakiki wa taarifa duniani (IFNC) umeeleza kuwa maadhimisho ya siku hiyo ni kwa kila mmoja wakiwemo wananchi, wanahabari na wataalamu wa uhakiki wa taarifa ikiwa...
11 years ago
Habarileo08 May
Vyama 10 vyashindwa kutoa taarifa kwa CAG
VYAMA 10 vya siasa kati ya 21 vyenye usajili wa kudumu, vimeshindwa kuwasilisha hesabu zao za vyama kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa ajili ya ukaguzi. Kati ya hivyo, vyama 11 havikuwasilisha taarifa zao huku vinne vilivyokaguliwa havina akaunti ya benki.
9 years ago
StarTV04 Nov
 Polisi yaomba wananchi kutoa taarifa kwa dola
Jeshi la Polisi nchini limewaomba wananchi kutoa taarifa katika vyombo vya Dola pindi wanapoona dalili za uvunjifu wa amani katika maeneo yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini CP. Paul Chagonja alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es salaam.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul Chagonja anaanza kwa kuwapongeza wananchi na wadau wote wa usalama...