Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani wafanya ziara ya usafi

MADIWANI  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro wamefanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Mpanda yenye lengo la kujifunza  wenzao walivyofanikiwa kuwa  mshindi wa  kwanza  wa usafi ...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Polisi wafanya usafi hospitalini

 Polisi Mkoa wa Kigoma wameazimia kuhamasisha jamii kuzingatia usafi wa mazingira, ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko yanayosabaishwa na uchafu.

 

10 years ago

Habarileo

Madiwani Kyela wajifunza usafi Kibaha

MADIWANI wa Halmashauri ya Kyela mkoani Mbeya wamefanya ziara ya mafunzo kwa kutembelea Halmashauri ya Mji Kibaha kujifunza uboreshaji na usafi wa mazingira.

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI HOSPITALI YA MUHIMBILI WAFANYA USAFI

VE1 Baadhi ya Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakifanya usafi leo nje ya jengo la Kibasila akiwamo Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithnashery Jamaat ya jijini Dar es Salaam, Dewji Azim (katikati). VE2 Kushoto ni Mwanasheria wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Veronica Hillary, Mkuu wa Idara ya Upasuaji,  Dk Julieth Magandi, Mkurugenzi wa Upasuaji, Dk John Kimario na Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithnashery Jamaat ya jijini Dar es Salaam, Dewji Azim wakifanya usafi leo Desemba 9...

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani wasifu Mji wa Mpanda kwa usafi

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameimwagia sifa Halmashauri ya Mpanda-Mji mkoani Katavi iliyoibuka kidedea na kushika nafasi ya kwanza ya hamashauri za miji nchini katika mashindano ya Usafi Kitaifa kwa miaka miwili mfululizo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Kyela wajinoa usafi wa mazingira Kibaha

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wamefanya ziara ya mafunzo kwa kuitembelea Halmashauri ya Mji Kibaha kwa lengo la kujifunza jinsi ya uboreshaji na usafi wa mazingira....

 

9 years ago

StarTV

Wafanya usafi walalamikia madereva wanaokiuka sheria

 

Baadhi ya wanawake wanaofanya usafi katika jiji la Mwanza wamewalalamikia madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani kwa kuendesha magari wakiwa wamelewa na wengine kuendesha kwa mwendo kasi licha ya kuwekewa alama za usalama barabarani.

Katikati ya jiji la Mwanza jua ni kali, usafi wa barabara unaendelea ambao ni miongoni mwa vigezo vya maendeleo kwa sababu mazingira safi ambayo yanapunguza magonjwa lakini hali hiyo inadaiwa kuhatarisha usalama wa wanawake hao wakati wa kufagia...

 

10 years ago

GPL

MADIWANI MANISPAA YA KINONDONI WAFANYA KIKAO

Naibu Meya, Songoro Mnyonge (kushoto), Mstahiki Meya wa manspaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (katikati) na Injinia Musa Natty. Diwani kata ya Kunduchi, Janeth Rite, akisisitiza jambo.…

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Wilaya ya Mbogwe Geita wafanya usafi kujikinga Ya Kipindupindu  

 

Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita Mariam Lugaila ameongoza wananchi kutekeleza agizo la mkuu wa mkoa huo Fatma Mwasa la kufanya usafi.

Lengo ni kuhakikisha kila wilaya inajikinga na ugonjwa wa kipindupindu ambao umeshaingia mkoani humo.

Zoezi la usafi limefanyika katika eneo la sokoni na stendi ya mabasi mjini Masumbwe wananchi wote wakihimizwa kufanya usafi majumbani na maeneo ya kazi sambamba na kuchimba vyoo na kuvitumia.

Mkuu wa wilaya ya mbogwe Bi Mariamu Lugaila Amesema Rais John...

 

10 years ago

Michuzi

WANANFUNZI WA SHULE YA MSINGI KAKUNI WAFANYA USAFI SHULENI KWAO

Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Kakuni wilayani Mlele wakitoka kufanya usafi wa barabara zinazozunguka shule yao mpya waliyojengewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye kijiji cha Kibaoni Julai 25, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani