Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani Kyela wajifunza usafi Kibaha

MADIWANI wa Halmashauri ya Kyela mkoani Mbeya wamefanya ziara ya mafunzo kwa kutembelea Halmashauri ya Mji Kibaha kujifunza uboreshaji na usafi wa mazingira.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Kyela wajinoa usafi wa mazingira Kibaha

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wamefanya ziara ya mafunzo kwa kuitembelea Halmashauri ya Mji Kibaha kwa lengo la kujifunza jinsi ya uboreshaji na usafi wa mazingira....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani wafanya ziara ya usafi

MADIWANI  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro wamefanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Mpanda yenye lengo la kujifunza  wenzao walivyofanikiwa kuwa  mshindi wa  kwanza  wa usafi ...

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani wasifu Mji wa Mpanda kwa usafi

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameimwagia sifa Halmashauri ya Mpanda-Mji mkoani Katavi iliyoibuka kidedea na kushika nafasi ya kwanza ya hamashauri za miji nchini katika mashindano ya Usafi Kitaifa kwa miaka miwili mfululizo.

 

9 years ago

Michuzi

Magufuli afanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kibamba,Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini na Kibaha mjini jijini Dar leo.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Chalinze,Ndugu Ridhiwani Kikwete.Dkt Magufuli amefanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini,Kibamba na Kibaha mjini.Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya ccm kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijini .Nduggu Hamoud Abuu Jumaa.Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alipojichanganya kwenye mkutano wa CCM,maara baada ya kuvutiwa na sera za Mgombea Urais...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Atua Kibaha na Chopa Nakuhutubia Mamia ya Wananchi wa Mji wa Kibaha

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Kibaha, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Kibaha, Pwani jana. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Kata ya Kongowe, Joseph Baziry, wakati wa mkutano...

 

11 years ago

Mwananchi

Bodaboda 268 wajifunza

Waendesha bodaboda 268 wa Mkoa wa Manyara wamepatiwa leseni na mafunzo ya kufuata sheria za usalama barabarani kwa lengo la kuwaepusha na usumbufu wa kukamatwa mara kwa mara pamoja na ajali.

 

9 years ago

Vijimambo

WAZIMBABWE WAJIFUNZA TUMBAKU TANZANIA

Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.Meneja Uhusiano wa Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw. Mazehiew Folleto (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.
Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIMBABWE WAJIFUNZA TUMBAKU HAPA NCHINI

Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.Meneja Uhusiano wa Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw. Mazehiew Folleto (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

5 years ago

Michuzi

SUDANI WAJIFUNZA URATIBU WA URUTUBISHAJI WA VYAKULA TANZANIA

Na. OWM, DODOMA

Ujumbe wa maafisa waandamizi wa serikali kutoka nchini Sudani umekuja hapa nchini kujifunza masuala ya Uratibu wa Vuguvugu la Lishe  na urutubishaji wa Vyakula. Ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa ikiratibu masuala ya lishe nchini kutokana na mamlaka iliyonayo kikatiba ya kuratibu shughuli zote za Serikali pamoja na masuala mtambuka. Uratibu huo unafanywa kupitia Kamati ya kitaifa ya Lishe chini ya Uongozi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani