Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani wasifu Mji wa Mpanda kwa usafi

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameimwagia sifa Halmashauri ya Mpanda-Mji mkoani Katavi iliyoibuka kidedea na kushika nafasi ya kwanza ya hamashauri za miji nchini katika mashindano ya Usafi Kitaifa kwa miaka miwili mfululizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI LA MJI KOROGWE LAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MPANGO TIBA KWA KADI (TIKA)

Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani katika kupitisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha mwisho kimefanyika Machi 29, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Pembeni ni Mwenyekiti wa Hamashauri ya Mji Korogwe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilole,...

 

10 years ago

Vijimambo

CHANZO CHA MAJI IKORONGO MKOMBOZI WA MJI WA MPANDA

Wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiangalia chanzo cha chemichemi ya maji cha Ikorongo kilichoko kilometa 13.2 kutoka Mpanda mjini. Chanzo hicho kina uwezo wa kutoa maji ya kutosha mji wote wa Mpanda.Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya Mji wa Mpanda Magdalena Mkeremi (aliyejifunika mtandio) akifafanua jambo kwa timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi Rais, Tume ya Mipango walipotembelea chanzo hicho hivi karibuniMhandisi Happiness Magalula,...

 

10 years ago

Michuzi

KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE, AWAHUTUBI WAKAZI WA MJI WA MPANDA


001Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubi wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake. 002mail.google.comMwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea  na ziara ya kutambulisha viongozi wake.003

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani wafanya ziara ya usafi

MADIWANI  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro wamefanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Mpanda yenye lengo la kujifunza  wenzao walivyofanikiwa kuwa  mshindi wa  kwanza  wa usafi ...

 

10 years ago

Habarileo

Madiwani Kyela wajifunza usafi Kibaha

MADIWANI wa Halmashauri ya Kyela mkoani Mbeya wamefanya ziara ya mafunzo kwa kutembelea Halmashauri ya Mji Kibaha kujifunza uboreshaji na usafi wa mazingira.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Kyela wajinoa usafi wa mazingira Kibaha

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wamefanya ziara ya mafunzo kwa kuitembelea Halmashauri ya Mji Kibaha kwa lengo la kujifunza jinsi ya uboreshaji na usafi wa mazingira....

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI MERU LAPENDEKEZA HALMASHAURI HIYO KUWA YA MJI






Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Meru wakifuatilia kikao chao kikiendelea kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo na kupendekeza halmashauri hiyo kuwa na hadhi ya mji picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha


Kikao kikiendelea na kupendekeza halmashauri hiyo kuwa ya Mji badala ya Sasa wilaya.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Meru Akiongoza kikao cha baraza la madiwani kwenye halmashauri ya Meru akiwa na Mkurugenzi wake Emmanuel Mkongo
Diwani Malula Mafie akichangia kwenye kikao hicho Cha Baraza la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani