Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANFUNZI WA SHULE YA MSINGI KAKUNI WAFANYA USAFI SHULENI KWAO

Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Kakuni wilayani Mlele wakitoka kufanya usafi wa barabara zinazozunguka shule yao mpya waliyojengewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye kijiji cha Kibaoni Julai 25, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Japan yachangia sh. milioni 160 shule ya msingi Kakuni

DSC_0144

Kaimu Balozi wa Japan, Bw. Kazuyoshi Matsunaga akisoma risala fupi mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) wakati wa hafla fupi ya utiaji saini mkataba wa msaada wa shilingi milioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali ya Kakuni wilayani Mlele Machi 6, 2015 kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

 *Waziri Mkuu aomba Watanzania wamuunge mkono

SERIKALI ya Japan imetoa msaada wa dola za Marekani 90,286 sawa na sh. milioni...

 

10 years ago

Habarileo

Japan yachangia mil 160/- shule ya msingi Kakuni

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.SERIKALI ya Japan imetoa msaada wa dola za Marekani 90,286 sawa na Sh milioni 160/- kusaidia ujenzi wa shule ya awali kwenye shule ya msingi Kakuni, iliyopo kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi.

 

10 years ago

GPL

JAPAN YACHANGIA SH. MILIONI 160 SHULE YA MSINGI KAKUNI‏

Kaimu Balozi wa Japan, Bw. Kazuyoshi Matsunaga akisoma risala fupi mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) wakati wa hafla fupi ya utiaji saini mkataba wa msaada wa shilingi milioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali ya Kakuni wilayani Mlele Machi 6, 2015 kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam. Baadhi ya watendaji ofisi ya Waziri Mkuu waliohudhuria hafla hiyo fupi ya utiaji saini mkataba wa msaada...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pinda aendelea kupokea misaada ya vifaa mbalimbali kusaidia shule mpya ya msingi Kakuni Mkoani Katavi

PM -1

Mwakilishi wa Kampuni ya HUAWEI nchini Tanzania Bw. Jimmy Liguo Jin (kushoto) akimkabidhi Waziri Mkuu  Mhe. Mizengo Pinda sehemu ya msaada wa kompyuta mpakato zilizotolewa na kampuni hiyo kusaidia wanafunzi wa shule mpya ya Msingi ya Kakuni  iliyo katika kijiji cha Kibaoni mkoani Katavi leo jijini Dar es salaam. Shule hiyo ya kisasa imeanzishwa kufuatia  wazo la Wazo la Waziri Mkuu, Mhe.Mizengo Pinda la kuwa na shule Bora na ya kisasa katika kijiji hicho na inajengwa kupitia michango na...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AENDELEA KUPOKEA MISAADA YA VIFAA MBALIMBALI KUSAIDIA SHULE MPYA YA MSINGI KAKUNI MKOANI KATAVI

 WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Peter Pinda amepokea Msaada wa Vifaa vya Shule ikiwemo sare, Kompyuta pamoja na vifaa vya Michezo kutoka kampuni ya Huawei na Benki ya NMB.
 Pinda amepokea misaada hiyo kutoka Kampuni hizo kwa lengo la kuzindua mradi wa ujenzi wa Shule ya Msingi Kakuni katika kijiji cha Kibaoni Wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi.

Shule ya Msingi Kakuni iliyopo kijiji cha Kibaoni Mkoani Katavi ni Shule aliyosoma Waziri Mkuu huyo Mhe,Mizengo Pinda.

Mradi huo wa...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YAADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU KWA KUFANYA USAFI SHULE YA MSINGI TANDALE

Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadi ya Jamii (NSSF) wakishiriki kufanya usafi katika Shule ya Msingi Tangale Magharibi kwa kuondoa Maji Taka ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mika 54 ya Uhuru wa Tanganyika.Wafanyakazi wa NSSF wkiadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika wakifanya usafi wa mazingira katika Shule ya Msingi Tandale Magharibi, Jijini Dar es Salaam leo.Maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya usafi katika Shule ya Msingi Tandale Magharibi leo.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wafanya usafi hospitalini

 Polisi Mkoa wa Kigoma wameazimia kuhamasisha jamii kuzingatia usafi wa mazingira, ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko yanayosabaishwa na uchafu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani wafanya ziara ya usafi

MADIWANI  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro wamefanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Mpanda yenye lengo la kujifunza  wenzao walivyofanikiwa kuwa  mshindi wa  kwanza  wa usafi ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani