Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wavuvi wanaua wanawake kuvutia samaki kwenye mitego’

WAKATI Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu ametuma timu maalumu ya wataalamu wilaya ya Butiama mkoani Mara, kuchunguza matukio ya mauaji yanayowalenga wanawake, taarifa zinasema mauaji hayo hufanywa na wavuvi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

Wavuvi wanaozamia samaki wa mapambo wanadhulumiwa

Na Albano Midelo WAVUVI wanaofanyakazi ya kuzamia samaki wa mapambo katika ziwa Nyasa eneo la Liuli mkoani Ruvuma wanadhulumiwa na makampuni ambayo yanauza samaki hao kwa faida kubwa. Utafiti unaonyesha kuwa tangu mwaka 1993 kampuni za kigeni zinauza samaki wa mapambo wanaovuliwa kutoka Liuli katika nchi za Ujerumani,Ufaransa na Norway ambapo samaki mmoja huuzwa kati ya dola 450 hadi dola 500 huku wavuvi wanaofanyakazi ya kuzamia katika makampuni hayo wakiendelea kuwa masikini na wengine...

 

11 years ago

Mwananchi

Wavuvi: Mradi wa gesi unatupunguzia samaki baharini

>Katika kipindi cha zaidi ya miaka miwili sasa upatikanaji wa samaki wa kitoweo katika pwani ya Bahari ya Hindi, eneo la Mkoa wa Mtwara, umekuwa mgumu.

 

10 years ago

Habarileo

Wavuvi wahoji soko la samaki Kalambo kudoda

WAVUVI wa vijiji vya mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Kalambo katika Mkoa wa Rukwa, wamesikitishwa kuona soko la kisasa la samaki likishindwa kufanya kazi miaka mitatu sasa tangu ujenzi wake ukamilike, huku ujenzi wake ukielezwa kugharimu zaidi ya Sh milioni 802.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kituo cha kuendeleza Samaki Kanda ya Kati chatoa siku saba kwa wavuvi haramu kusalimisha zana haramu wanazotumia

SAM_0161

Baadhi ya nyavu haramu zisizoruhusiwa kutumika kuvulia samaki kwenye bwawa la Kijiji cha Mwanzugi,wilayani Igunga.

SAM_0148

Ofisa Uvuvi Mfawidhi Kituo cha kuendeleza ufugaji samaki kanda ya kati, Bwana Renatus Charles Karumbete akitoa maelezo ya namna samaki wanavyozalishwa katika kituo hicho.

Na. Jumbe Ismailly

[IGUNGA] Kituo  cha kuendeleza samaki Kanda ya kati,chenye makao yake makuu wilayani Igunga,Mkoani Tabora kimetoa muda wa siku saba kuanzia sasa kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wahimizwa kuvutia wawekezaji kwenye kilimo

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu, amewataka Watanzania kuvutia wawekezaji kutoka nje kuwekeza kwenye kilimo, ili uchumi uweze kukua kwa Watanzania wengi. Dk....

 

10 years ago

Bongo5

Tazama picha za kuvutia za Beyonce kwenye jarida la Beat

Beyonce amekava jarida la Beat litakalotoka Jumatano hii. Hizi ni picha zake. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

5 years ago

BBCSwahili

Ukatili baharini: Simulizi kuhusu wavuvi waliotoswa kwenye maji na Wachina

Video inayoonesha mwili wa kijana mmoja akitoswa kikatili baharini imesababisha kufanyika kwa uchunguzi kimataifa, na tukio hilo kuonesha kuwepo kwa viashiria vya hali ''kama ya utumwa''

 

10 years ago

GPL

AKUTANA NA WEMA SEPETU KWENYE DUKA LA SAMAKI

WIKI iliyopita tuliishia pale ambapo mrembo wa kijijini kwa kina marehemu Kanumba alivyopagawa baada ya kumuona mwigizaji huyo katika runinga akiigiza michezo mbalimbali na kuonesha nia ya kukubali ombi la Kanumba.
Kanumba naye alimkataa kwani alijua amejirahisisha kwa sababu ya umaarufu na si penzi la dhati, akamchomolea.SASA ENDELEA... Mwaka 2006 alijiunga katika Kampuni ya Mtitu Game First Quality ambapo aliweza kucheza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Akutana na Wema Sepetu Kwenye Duka la Samaki-4

WIKI iliyopita tuliishia pale ambapo mrembo wa kijijini kwa kina marehemu Kanumba alivyopagawa baada ya kumuona mwigizaji huyo katika runinga akiigiza michezo mbalimbali na kuonesha nia ya kukubali ombi la Kanumba.
Kanumba naye alimkataa kwani alijua amejirahisisha kwa sababu ya umaarufu na si penzi la dhati, akamchomolea.SASA ENDELEA...

Mwaka 2006 alijiunga katika Kampuni ya Mtitu Game First Quality ambapo aliweza kucheza sinema kama She is Johari, My Sister, Dar To Lagos, Cros My Sin, The...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani