Burundi;Watoto Wakimbizi wanadhulumiwa
Save the Children limesema kuwa zaidi ya watoto 2,300 ambao hawana wazazi, wamekimbia machafuko ya kisiasa yanayoendelea nchini Burundi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka
Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...
9 years ago
MichuziWAKIMBIZI WA BURUNDI WAONGEZEKA MAKAMBI YA WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIIdadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta...
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA
10 years ago
Mwananchi04 May
Wakimbizi wa Burundi wapelekwa Nyarugusi
10 years ago
Mwananchi21 May
Wakimbizi 40 wa Burundi wafariki dunia
10 years ago
Habarileo16 Oct
Wakimbizi 162 wa Burundi wapewa uraia
RAIS Jakaya Kikwete ametoa hati za uraia wa Tanzania kwa wakimbizi 162 kutoka nchi jirani ya Burundi na ambao wameishi nchini kwa miaka 42, tangu mwaka 1972. Alitoa hati hizo juzi mjini Tabora, ikiwa nisehemu ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo.
10 years ago
Mtanzania20 May
Wakimbizi 500 wa Burundi waugua kipindupidu
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
UGONJWA wa kipindupindu umelipuka katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyopo mkoani Kigoma ambako wakimbizi 558 kutoka Burundi wamekumbwa na ugonjwa huo.
Pamoja na kuibuka kipindupidu katika kambi hiyo, watu 15 walikuwa wamefariki dunia kufikia juzi.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Steven Kebwe, alisema Aprili 24 mwaka huu, wakimbizi 2,458 walikuwa wakiharisha na kutapika katika kambi hiyo huku sampuli 11 kati ya...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-VrvLRIAS-gQ/VViz8LiVHzI/AAAAAAAACIQ/zd61s8wKYbo/s72-c/Maelfu%2Bya%2Bwakimbizi%2Bwa%2BBurundi%2Bwakiwa%2Bukingoni%2Bwa%2BZiwa%2BTanganyika%2Bwakisubili%2Bkuvushwa%2Bna%2BMeli%2Bya%2BMv%2BLiemba.jpg)
Wakimbizi wa Burundi wahifadhiwa Lake Tanganyika
![](http://2.bp.blogspot.com/-VrvLRIAS-gQ/VViz8LiVHzI/AAAAAAAACIQ/zd61s8wKYbo/s320/Maelfu%2Bya%2Bwakimbizi%2Bwa%2BBurundi%2Bwakiwa%2Bukingoni%2Bwa%2BZiwa%2BTanganyika%2Bwakisubili%2Bkuvushwa%2Bna%2BMeli%2Bya%2BMv%2BLiemba.jpg)
Kwa mujibu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la UNHCR, idadi ya watu 100,000 wamekimbia nchini Burundi kufuatia mzozo wa kisiasa unaoendelea.
Idadi kubwa ya wakimbizi hao wamepokelewa nchini Tanzania huku wengine wakikimbilia nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Rwanda na Uganda. Msemaji wa UNHCR mjini...
9 years ago
Habarileo17 Sep
Magufuli kuwapa uraia wakimbizi Burundi
MGOMBEA urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amesema anatambua jitihada zilizofanywa na Rais Jakaya Kikwete za kutoa uraia kwa waathirika wa vita vya Burundi waliokimbilia Tanzania, hivyo akichaguliwa kuwa rais ataendeleza jitihada hizo.