Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STARTIMES YAZINDUA X MASS PROMOTION‏

Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Star Media Tanzania ambao ni wauzaji na wasambazaji wa ving’amuzi vya StarTimes, StarTimes Tanzania, Jack Yu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa promosheni ya krisimasi na mwaka mpya ambapo wameshusha bei ya ving’amuzi vya antenna kutoka sh. 79,000/- mpaka 59,000/- na ofa ya simu ya kisasa ya bure aina ya S100 endapo mteja atalipia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

STARTIMES YAZINDUA KIPINDI CHA TELEVISHENI MASHARIKI MAX

 Makamu Rais wa kampuni ya StarTimes, Bw. Michael Dearham (kushoto) akisalimiana na Jokate Mwegelo (kulia) atakae kuwa mtangazaji wa kipindi cha Mashariki Max kitakacho onyeshwa na StarTimes kupitia chaneli ya ST Swahili, wakati wa uzinduzi wa kipindi hicho uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni mtangazaji wa kipindi hicho nchini Kenya, Sarah Hassan. Picha na mpiga picha wetu. 
 Makamu Rais wa kampuni ya StarTimes, Bw. Michael Dearham (kushoto)...

 

10 years ago

Michuzi

PROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA VILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO

Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza jambo kwenye hafla fupi iliyoandaliwa na Proin Promotion kwa ajili ya kuzindua mpango wa kuuza filamu kupitia njia ya mtandao. 

Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizindua rasmi mpango wa kuuza filamu zake kwa njia ya mtadao wa kwanza kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza(wa kwanza...

 

10 years ago

GPL

PROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA FILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa  mpango wa kuuza filamu zake kwa njia ya mtandao. Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza jambo kwenye hafla fupi iliyoandaliwa na Proin Promotion kwa ajili ya kuzindua mpango wa kuuza filamu kupitia njia ya mtandao.… ...

 

10 years ago

GPL

DROO YA KWANZA YA KUJISHINDIA PIKIPIKI NA STARTIMES‏

Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif (wa kwanza kulia) akifuatilia kwenye luninga droo ya bahati nasibu  ya kwanza ya kujishindia pikipiki iliyochezeshwa na kampuni hiyo katika duka lao lililopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Wakifuatilia kwa makini zoezi hilo kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Taifa, Mrisho Milao na katikati ni Msimamizi wa Mfumo wa Kompyuta wa kampuni hiyo,...

 

10 years ago

GPL

STARTIMES YAZINDUZI KIFURUSHI KIPYA CHA NYOTA‏

 Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa StarTimes Tanzania, Jacky Yu (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Baadhi ya wateja wakiangalia chaneli mbalimbali zinazorushwa na StarTimes kupitia vifurushi vyao mbalimbali.…

 

10 years ago

GPL

STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI‏

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi mshindi wa droo ya kwanza ya kujishindia pikipiki ya mwezi wa Aprili, Bw Kafuku Mdaki, mkazi wa Tanga, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea.… ...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA DUKA LA ARUSHA‏

Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala (kushoto) akizungumza jambo na Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Alumeru, Nyirembe Munasa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi  wa duka la huduma kwa wateja jijini Arusha.Katikati ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania, Adriana Lyamba(wa pili kushoto) na Maneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA, Inginia Annette...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA OFA YA LUKU‏

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (katikati) akiongea na waandishi wa Habari  leo katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe itakayowazawadia wateja wa Airtel  nchini kupata Unit za bure za LUKU pindi watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel Money, kushoto ni Afisa uhusiano na matukio wa Airtel na (Kulia) Steven Kimea Meneja wa Airtel Money. Meneja wa Airtel Money...

 

10 years ago

GPL

UN YAZINDUA RIPOTI YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI‏

Afisa habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella Vuzo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa ripoti ya Kupambana na dawa za kulevya ya Umoja wa Mataifa. Kulia ni mgeni rasmi Mchambuzi Mkuu wa Mifumo ya Kompyuta wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi (DCC), January Ntisi na kushoto ni Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani