Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAZINDUA OFA YA LUKU‏

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (katikati) akiongea na waandishi wa Habari  leo katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe itakayowazawadia wateja wa Airtel  nchini kupata Unit za bure za LUKU pindi watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel Money, kushoto ni Afisa uhusiano na matukio wa Airtel na (Kulia) Steven Kimea Meneja wa Airtel Money. Meneja wa Airtel Money...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY‏

Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money. Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
· Wateja kupata bonus ya LUKU pale watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel money Dar es Salaam, Mei 5th 2014 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money

Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha wateja wake kupata LUKU Bonus kila wakati watakaponunua LUKU kupita huduma Airtel Money.  ofi hii ni mwendelezo wa dhamira ya Airtel katika kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora nchini.
Akiongea kuhusu ofaa hii Meneja wa kitengo...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua ofa ya LUKU

Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na shirika la umeme la (TANESCO) imezindua ofa kabambe itakayowazawadia wateja wake nchi nzima Unit za bure za Luku pindi watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel Money
Ofa hii mpya ina lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma ya umeme na pia kuwazawadia wateja wa Airtel wanaonunua unit za LUKU kupitia huduma ya Airtel Money
Akiongea kuhusu ofa hiyo, Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackosn Mmbandoalisema” Wateja wetu watazawadia unit LUKU...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA OFA YA INTANETI BILA KIKOMO‏

Mkuu wa Huduma za Intaneti wa Airtel Tanzania, Gaurav Dhingra (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati akizindua ofa kabambe ya “ Yatosha Nyts Intaneti bila kikomo”, ambayo itamwezesha mteja kuperuzi intaneti bila kikomo wakati wa usiku kila siku. Kushoto ni Afisa Masoko wa Kitengo cha Intaneti, Erick Daniel na Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde. Afisa Masoko wa Airtel Kitengo cha...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA OFA KABAMBE WAKATI WA MSIMU WA SIKUKUU‏

Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe ya simu kwa msimu huu wa sikukuu ya Krismasi, ambapo itawawezesha wateja wa Airtel kununua simu za kisasa kwa bei nafuu na kupata vifurushi vya bure vya muda wa maongezi, ujumbe mfupi na huduma ya intaneti. Kushoto ni Meneja Masoko wa Bidhaa za Kisasa wa Airtel, Prisca Tembo.… ...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL KUPITIA HUDUMA YA SWITCH ON YAZINDUA OFA KAMBABE YA SIMU NA TECNO H5 MPYA‏

Kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Bi Prisca Tembo na Meneja Biashara wa Techno bw, Marco Wang wakionyesha simu mpya ya TechoH5 iliyoingizwa sokoni ikiwa na ofa kabambe itakaowawezesha wateja wa Airtel kupata simu ya kisasa pamoja na vifurushi vya internet ya kudumu kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo
Kushoto ni Afisa Mauzo wa airtel Nizar Aladawy na Afisa Mauzo wa Techno bi, Lolinda Joshman wakionyesha simu mpya ya TechoH5...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YATANGAZA OFA KABAMBE NUNUA AIRTEL HOME WI-FI NA UPATE NYINGINE YA BURE‏

Ofisa uhusiano na Matukio wa Airtel, Bi Dangio Kaniki akionyesha kifaa cha HOME Wi-Fi wakati wa kutangaza ofa kabambe ya Sabasaba itakayo wawezesha watanzania kupata kifaa cha bure cha ziada pindi watapokinunua katika viwanja vya maonyesho ya Sabasaba. Pichani, Afisa Masoko wa Airtel ,Ndevonaeli Eliakimu. Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza ofa kabambe katika viwanja vya Sabasaba itakayomwezesha mteja kununua...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL KENYA YAJA NA OFA KABAMBE YA ONE AIRTEL‏

Nairobi, Oktoba 21, 2015 – KAMPUNI inayoongoza katika mawasiliano ya simu, katika nchi 20 za Afrika na Asia, Airtel, imeboresha huduma yake ya roaming services kwa kuanzisha malipo ya mlingano yenye nafuu kubwa kwa wateja wake wanaosafiri katika bara la Afrika kutokea Kenya. Huduma hiyo ya ‘One Airtel’ inamwezesha mteja mgeni kutoka nje kutumia SIMkadi yake kupata huduma mbalimbali za Airtel kwa bei ya nchi husika huku...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA OFA YA INTANETI BILA KIKOMO

 Mkuu wa Huduma za Intaneti wa Airtel Tanzania, Gaurav Dhingra(katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaamjana, wakati akizindua ofa kabambe ya “ Yatosha Nyts Intaneti bilakikomo”, ambayo itamwezesha mteja kuperuzi intaneti bila kikomo wakatiwa usiku kila siku. Kushoto ni Afisa Masoko wa Kitengo cha Intaneti,Erick Daniel na Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde. Afisa Masoko wa Airtel Kitengo cha Intaneti, Erick Daniel (kushoto)akionyesha jinsi ya kutumia huduma ya ofa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani