AIRTEL YAZINDUA OFA YA INTANETI BILA KIKOMO
![](http://4.bp.blogspot.com/-pNFERova02Q/VhYgEQzInnI/AAAAAAAH9kA/YJV9zV3Z_3I/s72-c/1.jpg)
Mkuu wa Huduma za Intaneti wa Airtel Tanzania, Gaurav Dhingra(katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaamjana, wakati akizindua ofa kabambe ya “ Yatosha Nyts Intaneti bilakikomo”, ambayo itamwezesha mteja kuperuzi intaneti bila kikomo wakatiwa usiku kila siku. Kushoto ni Afisa Masoko wa Kitengo cha Intaneti,Erick Daniel na Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde.
Afisa Masoko wa Airtel Kitengo cha Intaneti, Erick Daniel (kushoto)akionyesha jinsi ya kutumia huduma ya ofa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nkLEPVQ6s9cX9i3fKxXw-wSq5vt-txIVqtHz1Qkvf4r0cDdNLWL*z7zZOaggabsk3VOeFP7rWaE8INNkLuLx11n50BucbUDi/1.jpg?width=650)
AIRTEL YAZINDUA OFA YA INTANETI BILA KIKOMO
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zRzMMvsiVmc/VgK2Qa-DElI/AAAAAAAAucc/bcwhW3I4Yvo/s72-c/1A%2B%25281%2529.jpg)
AIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA “YATOSHA NYTS” BILA KIKOMO
![](http://3.bp.blogspot.com/-zRzMMvsiVmc/VgK2Qa-DElI/AAAAAAAAucc/bcwhW3I4Yvo/s640/1A%2B%25281%2529.jpg)
kifurushi cha ‘Yatosha Nyts’ itakayomwezesha mteja kupiga simu Airtel
kwenda Airtel na kutuma ujumbe mfupi (SMS) bila kikomo pamoja na
kupata kifurushi cha internet cha MB 10 kwa kiwango cha shilingi 300
tu. Kushoto ni Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki.
![](http://3.bp.blogspot.com/-8NN4IHGwpTM/VgK2PqS5OyI/AAAAAAAAucY/ODzO5DJVytI/s640/1A%2B%25286%2529.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/1A-6.jpg?width=650)
AIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA “YATOSHA NYTS” BILA KIKOMO
11 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GRl8MekOaxg/U2iP8SLNY0I/AAAAAAAFf0g/kexVVesgQXg/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
![](http://1.bp.blogspot.com/-GRl8MekOaxg/U2iP8SLNY0I/AAAAAAAFf0g/kexVVesgQXg/s1600/unnamed+(5).jpg)
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha wateja wake kupata LUKU Bonus kila wakati watakaponunua LUKU kupita huduma Airtel Money. ofi hii ni mwendelezo wa dhamira ya Airtel katika kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora nchini.
Akiongea kuhusu ofaa hii Meneja wa kitengo...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FJpMTdyDTUs/VYlf8uk3izI/AAAAAAAHi0s/rbPsiw5K4Vc/s72-c/unnamed%2B%252880%2529.jpg)
Airtel yazindua ofa ya LUKU
Ofa hii mpya ina lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma ya umeme na pia kuwazawadia wateja wa Airtel wanaonunua unit za LUKU kupitia huduma ya Airtel Money
Akiongea kuhusu ofa hiyo, Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackosn Mmbandoalisema” Wateja wetu watazawadia unit LUKU...
10 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA OFA YA LUKU
10 years ago
StarTV16 Dec
Airtel yazindua ofa maalum kwa wateja.
Na Lilian Mtono
Dar es Salaam
Kampuni ya simu za mkononi ya airtel imezindua ofa maalumu ya simu, inayoenda bega kwa bega na kuwazawadia wateja wake wakati wa msimu huu wa sikukuu za krismas na mwaka mpya.
Ofa hii itajumuisha simu za kisasa kwa bei nafuu pamoja, vifurushi vya muda wa maongezi na internet.
Uzinduzi wa ofa unakuja ukiwa ni sehemu ya mpango wa airtel wa kutoa huduma bora zaidi na kuwawezesha wateja wake kufaidika hasa kwenye kipindi hiki cha sikukuu.
Chini ya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-uDaOJoSRWv0/VkRA_vRMw8I/AAAAAAAIFYs/xVaLtHQ421M/s72-c/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
Airtel yazindua ofa kabambe ya kutuma pesa bure
Ofa hii mpya ijulikanayo kama "Okoa Mapene'' ina lengo la kuinua huduma za kifedha na kuwapatia wateja njia rahisi ya kufanya miamala yao ya kila siku
Akiongea wakati wa uzinduzi, Meneja Uhusiano wa Airtel Bwn Jackson Mmbando alisema " kwa mara nyingine tena tunadhirisha kwa vitendo dhamira yetu ya kutoa huduma za...