UMEME BEI JUU JANUARI MOSI
![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXvOUEGkKMtstHeMkb8l0ZjTojc543RkuYWQH3E0jEBwhj4BXmRfOxVgRPy2wcrETG8v27Nh1T1d4VfGfQpTjX3H/tanescologo.jpg?width=600)
Taarifa ya EWURA YA bei mpya za umeme zitakazoanza kutumika Januari, Mosi 2013 Tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liliwasilisha maombi ya kurekebisha bei ya umeme kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). TANESCO ilipendekeza kuongeza bei kwa asilimia 67.87 kuanzia tarehe 1 Oktoba 2013, asilimia 12.74 kuanzia tarehe 1 Januari 2014 na asilimia 9.17 kuanzia tarehe 1 Januari 2015. Vilevile...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 Dec
Bei ya umeme juu
WATANZANIA wataanza Mwaka Mpya 2014 kwa maumivu, baada ya Shirika la Umeme (TANESCO) kuidhinishiwa kupandisha bei za umeme kuanzia Januari mosi.
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Umeme bei juu, huduma zilezile
9 years ago
Habarileo28 Dec
Muhongo achoshwa umeme wa bei juu
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kanda ya Ziwa kuhakikisha wanauingiza mkoa wa Kagera katika Gridi ya Taifa baada ya kubainika nchi inaingia gharama kubwa kununua umeme kutoka Uganda.
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Muhongo achoshwa na umeme wa bei ya juu unaonunuliwa Uganda
![](http://3.bp.blogspot.com/-dUivJwVx798/VoDIXOL-zYI/AAAAAAAAsxI/xNkEJqx7umE/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cCgFZZD9Tjs/VoDIXAPKD2I/AAAAAAAAsxE/TZtmNpIJtmE/s1600/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wy30vnLED_c/VoDIXsdjq0I/AAAAAAAAsxM/gdPetgEERUQ/s1600/4.jpg)
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Kombe la Mapinduzi kuanza Januari Mosi
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Mb Dog kuitambulisha video mpya Januari Mosi
MB Dog akitoa vionjo vya wimbo wake mpya wa Siyo Siri kwa waandishi wa habari (hawapo pichani).
Mkurugenzi wa QS Mhonda J Entertainment, Joseph Mhonda akizungumza jambo katika mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya King D iliyopo Sinza-Afrika Sana jiji ni Dar. Kushoto kwake ni Direkta Abby Kazi, kulia ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Q-Chillah.
Mhonda (kushoto) akimkabidhi Direkta Abby Kazi kitita cha shilingi milioni ishirini kama ada ya kumsajili katika Kampuni ya QS Mhonda J...
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Makatibu Wakuu na Manaibu kuapishwa kesho Januari Mosi, Ikulu jijini Dar!!
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Kesho Ijumaa 01 Januari, 2016 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wataapishwa rasmi katika Ukumbi wa Ikulu, uliopo lango kuu litazamalo baharini kuanzia saa nne asubuhi.
Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao wataapishwa na wale ambao walishaapishwa wanapaswa kuhudhuria katika tukio hili, ili...
11 years ago
Dewji Blog08 May
Mzee aishi wodini kwa miaka 45 tangu Januari mosi mwaka 1971
Mzee Abdi Nkhambi Lanjui (75) akiwa wodi namba nne katika hospitali ya mkoa mjini Singida. Mzee Lanjui mzaliwa wa kijiji cha Mhintiri tarafa ya Ihanja, aliyekuwa dereva wa kampuni ya mamlaka ya Pamba Mwanza, alipata ajali katikati ya mwaka 1968 na kulazwa katika hospitali ya Sekoture Mwanza na baadaye mwishoni mwa mwaka 1970,alihamishiwa hospitali ya mkoa wa Singida, ambako anaishi hadi sasa. Ajali hiyo ilisababisha kukatika mawasiliano kati ya kuanzia kiunoni na kushuka chini ambako...
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
EWURA yashusha bei ya mafuta ni kuanzia leo Januari 7, 2015
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel.
Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Na Dotto Mwaibale, Habari za Jamii Blog
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati, Maji...