Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CMEA ni suluhilisho kwa wanamuziki- Makamba

1

Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia January Makamba akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni ya na kampuni ya Copyrights Management East Africa Limited (CMEA).

Na Mwandishi Wetu

Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, January Makamba amewataka wanamuziki nchini kuachana na kutegemea kupata shoo za majukwaani na kupata umaarufu usiokuwa na tija kwa kujiunga na kampuni ya Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) ambayo inasimamia haki miliki za kazi za wasanii wa ukanda wa nchi ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CMEA ni suluhilisho kwa wanamuziki - Makamba

Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia January Makamba akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni ya na kampuni ya Copyrights Management East Africa Limited (CMEA).Afisa Mtendaji Mkuu wa CMEA, Paul Matthysse akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo yenye lengo la kuwakwamua wanamuziki katika umaskini. CMEA pia itawawezeha pia watayarishaji wa muziki na wasanii wengine pamoja na vyombo vya habari kupata kufahami takwimu sahihi za nymbo zilizochezwa kwa siku, wiki, mwezi na kwa mwaka.

 

9 years ago

Michuzi

Cosota, CMEA kuanza kulipa mirahaba kwa wanamuziki kuanza Januari mwakani

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Hakimiliki Tanzania (Cosota) Doreen Sinare akielezea umuhimu wa wanamuziki kujisajili kwao kupitia Kampuni iliyopewa jukumu la kuendesha zoezi usajili, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) ilikuweza kupata haki zao kutokana  na kazi zao.  Mkuu wa Uendeshaji wa kampuni ya CMEA, Abdi Zagar akielezea jinsi ya mfumo wa kisasa wa ukusanyaji taarifa za wanamuziki kwenye vituo vya televisheni na redio kwa ajili ya kutumiwa na Cosota ili kufanya...

 

11 years ago

GPL

WANAMUZIKI 5 TWANGA HOI KWA DENGUE

Stori: Musa Mateja
HOMA ya Dengue imezidi kuwa tishio jijini Dar es Salaam, ambapo wanamuziki watano wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’, wamekumbwa na ugonjwa huo, habari zimefika katika dawati la Risasi Mchanganyiko. Mmoja wa wanamuziki wa Twanga anayesumbuliwa na Homa ya Dengue, Bakari Kasongo ‘Mandela’. Mtoa habari Hassan Rehani ambaye ni meneja wa bendi hiyo, alizungumza na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanamuziki wamuenzi Gurumo kwa vitendo 

WADAU wa tasnia ya burudani hasa muziki wa dansi nchini wamepata pigo kubwa la kuondokewa na nguli wa muziki, Maalim Muhidin Gurumo (73) aliyefariki dunia Aprili 13, akipatiwa matibabu katika...

 

9 years ago

Global Publishers

Wanamuziki wa Hamandobe wajifua kwa Krismas Tanga

1

4 5Wanamuziki wa bendi ya Hamadombe wakiwa katika mazoezi nyumbani kwa mkurugezi wao Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.

6 8 9 10 11 12 13 14Wasanii wa filamu wa kundi la Hamadombe ambao nao wanatarajia kutoa filamu kali ya ‘Nakufa kwa ajili yako’.

WANAMUZIKI wa bendi ya Hamadombe, jana wamenaswa jijini Dar es Salaam wakijifua kwa ajili ya shoo kabambe wanayotarajia kuifanya siku ya Krismasi katika ukumbi wa Rombo ulioko Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel anaamini CMEA na COSOTA zitabadilisha maisha ya wasanii

Nahreel

Nahreel anaamini kuwa kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii nchini (CMEA) ikishirikiana na COSOTA zitaweza kubadilisha maisha ya wasanii.

Mtayarishaji huyo wa muziki amesema CMEA itawasaidia wasanii kujua nafasi walizo nazo na nini wafanye ili kufanikiwa zaidi.

“Ukiwa upo kwenye system, utakuwa unakula ile hela yako unayoifanyia kazi, haki yako ambayo tayari umeshaifanyia kazi. So ni kitu kizuri kitatusaidia sisi, tutaweza hata kupanga vitu in future. Kazi zetu sitakuwa safe,”...

 

9 years ago

Mwananchi

Tunatarajia CMEA mtafika huku kulinda kazi za sanaa 2016

Zikiwa zimebaki siku tano kuufunga mwaka 2015, wasanii wanahamu ya kuzimaliza hizi siku haraka iwezekanavyo ili wafikie hatua ya kuanza kufaidi matunda ya kazi zao waliyoifanya kwa kipindi kirefu wakipata malipo kiduchu.

 

10 years ago

Michuzi

TMF yalipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika Katiba vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki

Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo Novembar (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati akilipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika Katiba vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki. Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Kasimu Mapili (kulia), akiimba na kupiga gitaa lake wakati Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo Novembar (katikati), alipozungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu kulipongeza Bunge la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani