Wanamuziki wamuenzi Gurumo kwa vitendoÂ
WADAU wa tasnia ya burudani hasa muziki wa dansi nchini wamepata pigo kubwa la kuondokewa na nguli wa muziki, Maalim Muhidin Gurumo (73) aliyefariki dunia Aprili 13, akipatiwa matibabu katika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi15 Apr
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Prof. Kamuzora: Wasomi wamuenzi Nyerere kwa vitendo
WASOMI nchini wametakiwa kutumia taaluma zao kubuni njia zitakazoleta suluhisho la matatizo na changamoto mbalimbali za wananchi na kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Ushauri huo ulitolewa na Naibu Makamu...
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wamuenzi Seth Benjamini wa Azimio la Arusha kwa usafi
KIKUNDI cha hamasa cha kuwaenzi viongozi na waasisi wa Taifa cha Loliondo Group, mkoani Arusha, kimemuenzi shujaa Seth Benjamini aliyefariki dunia akitembea kwa miguu kuunga mkono Azimio la Arusha, kwa kufanya usafi wa mazingira ulioambatana na kusafisha kaburi la shujaa huyo.
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Zanzibar wamuenzi Nyerere kwa vitendo, siyo porojo
10 years ago
VijimamboVIJANA WA FOREST MBEYA WAMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUFANYA USAFI
10 years ago
MichuziCMEA ni suluhilisho kwa wanamuziki - Makamba
11 years ago
GPLWANAMUZIKI 5 TWANGA HOI KWA DENGUE
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
CMEA ni suluhilisho kwa wanamuziki- Makamba
Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia January Makamba akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni ya na kampuni ya Copyrights Management East Africa Limited (CMEA).
Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, January Makamba amewataka wanamuziki nchini kuachana na kutegemea kupata shoo za majukwaani na kupata umaarufu usiokuwa na tija kwa kujiunga na kampuni ya Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) ambayo inasimamia haki miliki za kazi za wasanii wa ukanda wa nchi ya...
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Wanamuziki wa Hamandobe wajifua kwa Krismas Tanga
Wanamuziki wa bendi ya Hamadombe wakiwa katika mazoezi nyumbani kwa mkurugezi wao Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa filamu wa kundi la Hamadombe ambao nao wanatarajia kutoa filamu kali ya ‘Nakufa kwa ajili yako’.
WANAMUZIKI wa bendi ya Hamadombe, jana wamenaswa jijini Dar es Salaam wakijifua kwa ajili ya shoo kabambe wanayotarajia kuifanya siku ya Krismasi katika ukumbi wa Rombo ulioko Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii mkurugenzi wa...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10