WANAMUZIKI 5 TWANGA HOI KWA DENGUE
![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfhQhVIAI59MJgqiP3SkAJyr3Z7Hi0ZqY4GD9Q2aDwJZuFaR3S*aFw0plT3Px1Oe1LM3QGLVb9MB-muBO2kG4ehr/twanga.jpg)
Stori: Musa Mateja HOMA ya Dengue imezidi kuwa tishio jijini Dar es Salaam, ambapo wanamuziki watano wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’, wamekumbwa na ugonjwa huo, habari zimefika katika dawati la Risasi Mchanganyiko. Mmoja wa wanamuziki wa Twanga anayesumbuliwa na Homa ya Dengue, Bakari Kasongo ‘Mandela’. Mtoa habari Hassan Rehani ambaye ni meneja wa bendi hiyo, alizungumza na...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Nov
New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi
![12237221_1669908713222926_427056748_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12237221_1669908713222926_427056748_n-300x194.jpg)
Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
MichuziCMEA ni suluhilisho kwa wanamuziki - Makamba
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Wanamuziki wamuenzi Gurumo kwa vitendoÂ
WADAU wa tasnia ya burudani hasa muziki wa dansi nchini wamepata pigo kubwa la kuondokewa na nguli wa muziki, Maalim Muhidin Gurumo (73) aliyefariki dunia Aprili 13, akipatiwa matibabu katika...
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
CMEA ni suluhilisho kwa wanamuziki- Makamba
Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia January Makamba akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampuni ya na kampuni ya Copyrights Management East Africa Limited (CMEA).
Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, January Makamba amewataka wanamuziki nchini kuachana na kutegemea kupata shoo za majukwaani na kupata umaarufu usiokuwa na tija kwa kujiunga na kampuni ya Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) ambayo inasimamia haki miliki za kazi za wasanii wa ukanda wa nchi ya...
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Wanamuziki wa Hamandobe wajifua kwa Krismas Tanga
Wanamuziki wa bendi ya Hamadombe wakiwa katika mazoezi nyumbani kwa mkurugezi wao Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa filamu wa kundi la Hamadombe ambao nao wanatarajia kutoa filamu kali ya ‘Nakufa kwa ajili yako’.
WANAMUZIKI wa bendi ya Hamadombe, jana wamenaswa jijini Dar es Salaam wakijifua kwa ajili ya shoo kabambe wanayotarajia kuifanya siku ya Krismasi katika ukumbi wa Rombo ulioko Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii mkurugenzi wa...
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Ni shangwe na hoi hoi Ujerumani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRmoevIWMDTGzJJ7Ub4uHZxDt5Zml-1TD8xkMGr89lODQ66pGOMOzOQqcA2VmhUuxI7ApuAH4e3ynqnku7YBBIvo/BALO.jpg)
ENGLAND HOI KWA ITALIA
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10