Prof. Kamuzora: Wasomi wamuenzi Nyerere kwa vitendo
WASOMI nchini wametakiwa kutumia taaluma zao kubuni njia zitakazoleta suluhisho la matatizo na changamoto mbalimbali za wananchi na kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Ushauri huo ulitolewa na Naibu Makamu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Zanzibar wamuenzi Nyerere kwa vitendo, siyo porojo
11 years ago
Habarileo30 Dec
Prof. Kamuzora ateuliwa bodi ya kimataifa ya CTA
KAMATI ya mabalozi ya nchi za Afrika, Karibiani, Pasifiki na Ulaya, imemteua Mtanzania, Profesa Faustin Kamuzora, kuwa mjumbe wa bodi ya Kituo cha Ufundi cha Kilimo na Maendeleo Vijijini (CTA).
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Viongozi wa Afrika wamuenzi Mwalimu Nyerere
10 years ago
Habarileo14 Oct
Nyerere hajaenziwa kwa vitendo —Warioba
IKIWA leo ni miaka 15 tangu kifo cha Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere, imebainika kuwa bado suala la haki na usawa ndani ya jamii ya Watanzania linakosekana na hivyo kushindwa kumuenzi vyema muasisi huyo wa taifa.
9 years ago
MichuziMapokezi ya Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Prof. Faustine Kamuzora
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Wanamuziki wamuenzi Gurumo kwa vitendoÂ
WADAU wa tasnia ya burudani hasa muziki wa dansi nchini wamepata pigo kubwa la kuondokewa na nguli wa muziki, Maalim Muhidin Gurumo (73) aliyefariki dunia Aprili 13, akipatiwa matibabu katika...
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wamuenzi Seth Benjamini wa Azimio la Arusha kwa usafi
KIKUNDI cha hamasa cha kuwaenzi viongozi na waasisi wa Taifa cha Loliondo Group, mkoani Arusha, kimemuenzi shujaa Seth Benjamini aliyefariki dunia akitembea kwa miguu kuunga mkono Azimio la Arusha, kwa kufanya usafi wa mazingira ulioambatana na kusafisha kaburi la shujaa huyo.
10 years ago
VijimamboVIJANA WA FOREST MBEYA WAMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUFANYA USAFI
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Profesa Kamuzora ateuliwa Bodi CTA
KAMATI ya mabalozi toka nchi za Afrika, Caribbean, Pacific na Ulaya imemteua Mtanzania, Profesa Faustin Kamuzora, kuwa mjumbe wa Bodi ya Kituo cha Ufundi cha Kilimo na Maendeleo Vijijini (CTA)....