Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Kamuzora ateuliwa Bodi CTA

KAMATI ya mabalozi toka nchi za Afrika, Caribbean, Pacific na Ulaya imemteua Mtanzania, Profesa Faustin Kamuzora, kuwa mjumbe wa Bodi ya Kituo cha Ufundi cha Kilimo na Maendeleo Vijijini (CTA)....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Prof. Kamuzora ateuliwa bodi ya kimataifa ya CTA

Profesa Faustin KamuzoraKAMATI ya mabalozi ya nchi za Afrika, Karibiani, Pasifiki na Ulaya, imemteua Mtanzania, Profesa Faustin Kamuzora, kuwa mjumbe wa bodi ya Kituo cha Ufundi cha Kilimo na Maendeleo Vijijini (CTA).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Balozi Maajar ateuliwa Mwenyekiti bodi ya BOA

BALOZI Mwanaidi Sinare Maajar ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Benki ya Afrika (BOA) na kuidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Balozi Maajar alikuwa mjumbe wa Bodi...

 

10 years ago

Michuzi

Dk. Hussein ateuliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa Bodi ya Wakurugenzi ya NBC

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imemteua Dk Kassim Hussein kuwa mwenyekiti wa muda wa bodi ya wakurugenzi.
Hatua hiyo imetokana na kuteuliwa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa bodi ya benki hiyo, Profesa Mussa Assad, kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . 
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa NBC, Bwana Pius Tibazarwa alisema Dk Hussein atashika wadhifa wa uenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Mussa Juma Assad ateuliwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

 Profesa Mussa Juma Assad---  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014. Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

Kabla ya...

 

9 years ago

Michuzi

NATU RASHID MSUYA ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI YA MFUKO WA RAIS WA KUJITEGEMEA (PTF).

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Natu Rashid Msuya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF).


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Alhamisi, Oktoba 29, 2015 Ikulu, Dar es Salaam na Katibu Mkuu - Ikulu, Ndugu Peter Ilomo uteuzi huo ulianza Jumapili ya Oktoba 25 mwaka huu, 2015 na ni wa miaka mitatu.


Bibi...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMTEUA PROFESA MBETTE KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAWASILIANO SAYANSI NA TEKNOLOJIA TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA         Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Prof. Tolly Salvatory Augustin Mbwette  kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kipindi cha miaka miaka mitatu kuanzia tarehe 12 Oktoba 2015. 


Uteuzi huo ni kwa mujibu wa kifungu Na. 9 (4) (a) cha Sheria...

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Salome B. Misana Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Salome B. Misana (pichani) kuwa Mwenyekiti  mpya wa Bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi  na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC).  Profesa Misana ni Mhadhiri Mwandamizi toka Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Uteuzi huo umeanza rasmi tarehe 4/12/2014.
Wakati huo huo , Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira,  Dkt.  Binilith Mahenge amewateua Wajumbe  wa Bodi hiyo . Walioteuliwa ni Profesa Reuben...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Prof. Kamuzora: Wasomi wamuenzi Nyerere kwa vitendo

WASOMI nchini wametakiwa kutumia taaluma zao kubuni njia zitakazoleta suluhisho la matatizo na changamoto mbalimbali za wananchi na kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Ushauri huo ulitolewa na Naibu Makamu...

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Bagadanshwa: Profesa aliyeshinda vikwazo vya kuwa mlemavu wa kutoona

Baadhi ya watu wenye ulemavu wanathibitisha kuwa ulemavu si kikwazo cha binadamu kutafuta haki ya msingi ya kupata elimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani