Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Samatta, Prof Lumumba kutumika kuwarejesha Ukawa bungeni

Wiki hii Bunge Maalumu la Katiba limeahirishwa, kupisha Bunge la Bajeti kuanza vikao vyake vya bajeti kwa mwaka mpya wa fedha wa 2014/15.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Jaji Mutungi atafuta upenyo kuwarejesha Ukawa bungeni

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ameingilia kati kuondoa changamoto zilizojitokeza katika awamu ya mchakato ya Bunge Maalumu la Katiba ambalo baadhi ya wafuasi wa kundi linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wengi wakiwa viongozi wa vyama vya upinzani, walisusia.

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni

>Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza mkakati mpya wa kunusuru mchakato wa Katiba Mpya kwa kuitisha kikao cha wajumbe 27 wa Kamati ya Mashauriano ili kuondoa mpasuko kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wajumbe wengine.

 

11 years ago

CloudsFM

Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza mkakati mpya wa kunusuru mchakato wa Katiba Mpya kwa kuitisha kikao cha wajumbe 27 wa Kamati ya Mashauriano ili kuondoa mpasuko kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wajumbe wengine.

Katika wajumbe hao wamo maaskofu wawili na masheikh wawili ambao Sitta amewateua kutoka katika Bunge la Katiba.

Sitta ameitisha kikao hicho jijini Dar es Salaam Julai 24 wakati kukiwa na matamko tofauti kuhusu mustakabali wa katiba...

 

10 years ago

Vijimambo

PROF. MWANDOSYA AWATAKA WABUNGE WA UKAWA WAINGIE BUNGENI KESHO



Waziri katika Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya ametaka wabunge wote wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhudhuria bungeni kesho ambapo rais ataingia bungeni kulihutubia na kulivunja bunge.


Prof. Mwandosya amesema jambo la rais kulihutubia bunge ni sula muhimu sana hivyo si vyema mbunge ama kundi fulani la wabunge kuwepo nje ya bunge wakati rais atakapokuwa analihutubia bunge.


Kauli hiyo ya Prof. Mwandosya ameitoa leo Bungeni, ikiwa siku chache tu kupita tangu Mkuu...

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI

Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo. WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema. Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo, Mwanasheria… ...

 

5 years ago

Michuzi

PROF.ANNA TIBAIJUKA AAGA BUNGENI... AKUMBUKA MACHUNGU YA ESCROW

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

MBUNGE wa Muleba Kusini mkoani Kagera Profesa Anna Tibaijuka ametangaza rasmi kuwa katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2020 hatagombea tena nafasi ya ubunge na anakwenda kupumzika
huku akitumia nafasi hiyo kuelezea namna alivyoumizwa na sakata la fedha za Escrow.

Profesa Tibaijuka ametangaza uamuzi wake wa kutogombea tena ubunge kwenye jimbo hilo leo Aprili 3 mwaka 2020 ambapo ametumia nafasi hiyo kutoa shukrani kwa wananchi wa Muleba kwa namna ambavyo wamempa...

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa

Tabora. Mbio za urais zimezidi kupamba moto kwa upande wa upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia ya kugombea nafasi hiyo ya juu kisiasa nchini, akisema ana sifa zote lakini hatakuwa na kinyongo iwapo hatapitishwa na umoja wa vyama vya upinzani.

 

5 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA PROF IBRAHIM JUMA AMUAPISHA HAKIMU MKAZI OLIVIA TOWILO JIJINI DAR

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akimpatia vitendea kazi Hakimu Mkazi, Mhe. Olivia Towilo leo ofisini kwake, iliyopo Mahakama ya Rufani Tanzania, Jijini Dar es Salaam baada ya kuampisha.Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza mara baada ya kumuapisha Hakimu Mkazi, Mhe. Olivia Towilo leo ofisini kwake, iliyopo Mahakama ya Rufani Tanzania, Jijini Dar es Salaam.Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Chuma (wa...

 

10 years ago

GPL

TEGETA ESCROW: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. MUHONGO ATOA UTETEZI WA SERIKALI BUNGENI

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. Ameanza kwa kuomba radhi kama jana kulikuwa na usumbufu wa umeme na anawaagiza mameneja wote wa TANESCO wasikate umeme. Anatoa pongezi juu ya mjadala wa Escrow, mengi yamesemwa na ni wakati wa kuanza mjadala kujua ukweli, Shukrani kwa CAG, TAKUKURU kwa uchunguzi. Pia nawashukuru PAC, jana tulitulia kuwasikiliza PAC na leo tutulie tusikilize utetezi wangu. Spika wa Bunge,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani