Masheikh wataka maaskofu waliache Bunge lifanye kazi
Siku mbili baada ya Jukwaa la Wakristo Tanzania kutoa hoja zake kutaka Serikali kuondoa muswada wa sheria itakayosimamia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi, Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu imelitaka jukwaa hilo kuacha kuingilia Bunge.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania29 Jan
Masheikh: Maaskofu msiingilie mchakato wa mahakama ya kadhi
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
TAASISI ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, imepinga tamko la maaskofu kuhusu kuzuia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi na kusema hatua hiyo ni sawa na kuingilia uhuru wa Bunge.
Kutokana na hali hiyo, wametaka maaskofu hao kupitia Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), kuwaacha wabunge ili waweze kujadili muswada huo kwa uhuru bila kuwapo shinikizo katika suala hilo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa taasisi hiyo, Sheikh Khamis Mataka,...
11 years ago
CloudsFM09 Jul
Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza mkakati mpya wa kunusuru mchakato wa Katiba Mpya kwa kuitisha kikao cha wajumbe 27 wa Kamati ya Mashauriano ili kuondoa mpasuko kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wajumbe wengine.
Katika wajumbe hao wamo maaskofu wawili na masheikh wawili ambao Sitta amewateua kutoka katika Bunge la Katiba.
Sitta ameitisha kikao hicho jijini Dar es Salaam Julai 24 wakati kukiwa na matamko tofauti kuhusu mustakabali wa katiba...
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni
11 years ago
Habarileo21 Jan
Maaskofu wataka timuatimua kanisani
TIMUATIMUA inayoendelea kufanywa na Papa Francis katika benki ya Vatican, imevutia maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini ambao wameshauri katika miradi ya Kanisa hilo nchini, hata kama hiyo ichukuliwe kukitokea kutowajibika. Wakizungumza na gazeti hili hivi karibuni, maaskofu wa Kanisa hilo nchini walisema hatua aliyochukua Papa Francis ya kuondoa madarakani makadinali wanne waliokuwa wasimamizi wa benki ya Vatican ni nzuri.
10 years ago
Habarileo26 Dec
Maaskofu wataka JK aendeleze fagio lake
MAASKOFU wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini, wamepongeza uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kuwajibisha watendaji wake, huku wakimtaka asiishie kuchukua hatua kwa waliotajwa kuhusika na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow pekee, bali pia wazembe na wote wanaokutwa na tuhuma mbalimbali katika utawala wake.
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe
11 years ago
Habarileo07 Jul
Maaskofu wanena Bunge la Katiba
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa pili kuhusu Katiba mpya kwa Watanzania, ambao umetuma ujumbe mzito kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ukisisitiza Katiba ijayo iwe ya kuleta mema, kuimarisha amani na utulivu wa nchi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2Mr2GYGzBul8Y2H6AEuI1H5lgNkZPJp6MThvzuLYTvQjpwFPc4hV2C*rMM6YjRqTP1xWnoHRsl7VoGbjqaJFPLy/PENGOSAFI.jpg?width=650)
MAASKOFU WATIA NENO BUNGE LA KATIBA
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
Wataka hotuba ya Rais ifanyiwe kazi
NA RABIA BAKARI
HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa katika mkutano wa viongozi wa dini inapaswa kutumika kama dira na mwongozo hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Rais Kikwete alitoa hotuba hiyo hivi karibu na baadaye kuchapishwa katika vyombo vya habari. Alisisitiza umuhimu wa viongozi kusimamia amani na kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala lililoibua hisia tofauti la Mahakama ya Kadhi.
Akizungumza na Uhuru jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Haki na Amani ya viongozi wa dini mkoa wa...