Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka hotuba ya Rais ifanyiwe kazi


NA RABIA BAKARI
HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa katika mkutano wa viongozi wa dini inapaswa kutumika  kama dira na mwongozo hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Rais Kikwete alitoa hotuba hiyo hivi karibu na baadaye kuchapishwa katika vyombo vya habari. Alisisitiza umuhimu wa viongozi kusimamia amani na kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala lililoibua hisia tofauti la Mahakama ya Kadhi.
Akizungumza na Uhuru jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Haki na Amani ya viongozi wa dini mkoa wa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tathmini ya Madola, ifanyiwe kazi

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Serikali ilikutana na wanamichezo kwa ajili ya kufanya tathmini ya ushiriki wa taifa kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola ya 2014 ambayo Tanzania ilitoka kapa kwa mara ya pili mfululizo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kauli ya RC Tanga kuhusu njaa ifanyiwe kazi

Katika toleo la gazeti hili la jana, ukurasa wa 12 kulikuwa na habari iliyokuwa na kichwa kisemacho “wilaya tatu hatarini kukumbwa na njaa”. Wilaya hizo ni za mkoani Tanga ambazo ni Korogwe, Handeni na Kilindi.

 

10 years ago

Habarileo

Mabaharia wataka kazi meli za utafiti wa mafuta

JUMUIYA ya Mabaharia Tanzania imeiomba Serikali kuajiri wanachama wake katika meli za utafiti na uchimbaji mafuta na gesi katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

 

10 years ago

Mwananchi

Masheikh wataka maaskofu waliache Bunge lifanye kazi

Siku mbili baada ya Jukwaa la Wakristo Tanzania kutoa hoja zake kutaka Serikali kuondoa muswada wa sheria itakayosimamia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi, Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu imelitaka jukwaa hilo kuacha kuingilia Bunge.

 

10 years ago

GPL

HOTUBA YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI

Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda leo bungeni. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Kazi za Serikali...

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA RAIS BUNGENI LEO


Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Gharib Bilali,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma wakati Rais wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hutuba ya kufunga Bunge leoRais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hutuba yake ya kulifunga Mkutano wa Ishirini 20 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano...

 

9 years ago

BBCSwahili

Hotuba ya rais Magufuli Bungeni

Bunge la Tanzania limefunguliwa ambapo rais wa nchi hiyo John Pombe Magufuli ndie aliyefungua rasmi bunge hilo la 11

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani