Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tathmini ya Madola, ifanyiwe kazi

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Serikali ilikutana na wanamichezo kwa ajili ya kufanya tathmini ya ushiriki wa taifa kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola ya 2014 ambayo Tanzania ilitoka kapa kwa mara ya pili mfululizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wataka hotuba ya Rais ifanyiwe kazi


NA RABIA BAKARI
HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa katika mkutano wa viongozi wa dini inapaswa kutumika  kama dira na mwongozo hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Rais Kikwete alitoa hotuba hiyo hivi karibu na baadaye kuchapishwa katika vyombo vya habari. Alisisitiza umuhimu wa viongozi kusimamia amani na kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu suala lililoibua hisia tofauti la Mahakama ya Kadhi.
Akizungumza na Uhuru jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Haki na Amani ya viongozi wa dini mkoa wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Kauli ya RC Tanga kuhusu njaa ifanyiwe kazi

Katika toleo la gazeti hili la jana, ukurasa wa 12 kulikuwa na habari iliyokuwa na kichwa kisemacho “wilaya tatu hatarini kukumbwa na njaa”. Wilaya hizo ni za mkoani Tanga ambazo ni Korogwe, Handeni na Kilindi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Madola wafanyie kazi wito wa Waziri Membe

JUMANNE wiki hii, wachezaji wa timu za taifa watakaoiwakilisha nchi katika michuano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Julai mjini Glasgow, Scotland, walikabidhiwa bendera ya taifa ikiwa ni ishara ya kuwatakia...

 

9 years ago

Michuzi

Tanzania yapongezwa kwa uongozi bora wa Kikundi Kazi cha Mawaziri Jumuiya ya Madola

Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola ukiendelea pembezoni mwa Mkutano wa 70 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jijini New York, Marekani.Sekretarieti ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola wamesifu kazi iliyofanywa na Tanzania kama Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa jumuiya hiyo ya kusimamia na kuimarisha misingi imara ya jumuiya katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Hayo yamesemwa na Dkt. Josephine Ojiambo Makamu Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

Membe aongoza mkutano wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola jijini London

Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiendesha kikao cha 43 cha chombo hicho cha utendaji cha Jumuiya ya Madola Jijini London Uingereza.

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI MOSHI (MUWSA) YAFANYA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI KATIKA SIKU 360

Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo (hawapo pichani) wakati wa kutimiza siku 360 ofisini.Baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA wakimsikiliza Mkurugenzi wa mamlaka hiyo(hayupo pichani)Meneja Fedha wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Grace Msiru akizungumzia mafanikio na changamoto katika siku 360 kwa idara yake ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tathmini:Mchakato wa katiba ya TZ

Mchakato umevuka hatua kuu mbili, kinachofuata baada ya Rais Kikwete kukabidhiwa itakuwa ni kupigiwa kura ya maoni na wananchi

 

10 years ago

Mwananchi

Waliovamia maeneo kufanyiwa tathmini

Katika kupambana na janga la mafuriko ya mvua yanayolikumba Jiji la Dar es Salaam mara kwa mara, Mkuu wa Mkoa huo, Saidi Meck Sadiki ameziagiza halmashauri za jiji hilo kuorodhesha watu waliovamia maeneo ya mikondo ya maji ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani