Tathmini:Mchakato wa katiba ya TZ
Mchakato umevuka hatua kuu mbili, kinachofuata baada ya Rais Kikwete kukabidhiwa itakuwa ni kupigiwa kura ya maoni na wananchi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi19 Feb
11 years ago
Michuzi28 Jul
SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
Mmoja kati ya waumini wa dini ya Kiislam wa madhehebu ya Answaar Sunna iliyofanyika katika uwanja wa Mwembetogwa akitoka kuswali Swala ys Idd leo katika uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa Sheikh Dhulkifilo Omari kulia akiwa na baadhi ya waumini mara baada ya ibada ya Idd el Fitr leo katika uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa..............................................................................Na matukiodaimablog
Sheikh wa msikiti wa Hidaya katika manispaa ya ...
Sheikh wa msikiti wa Hidaya katika manispaa ya ...
10 years ago
Mwananchi22 Feb
MCHAKATO KATIBA MPYA: Hamad: Kwa nini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba
>Wakati Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba ukifikia hatua ya Kura ya maoni inayotarajiwa kupigwa Aprili 30 mwaka huu, watu wameendelea kutoa maoni yao.
11 years ago
GPLMTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAZUNGUMZIA MCHAKATO KATIBA MPYA
Mwakilishi kutoka Asasi ya Wanawake ya Ulingo, Dk. Avemaria Semakafu (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka taasisi moja wapo inayounda Mtandao wa Wanawake na Katiba akiwasilisha mada katika mkutano huo. Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano na baadhi ya wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Mmoja...
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
Dar es Salaam, Oktoba 16, 2014
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
10 years ago
Mwananchi09 Nov
JK anavyoutazama mchakato wa Katiba
Zilikuwa ni dakika 25 mbele ya umati mkubwa ndani ya ukumbi wa Land Mark katika Manispaa ya Dodoma ambako Rais Jakaya Kikwete alilihutubia taifa kupitia wazee wa mkoa huo.
11 years ago
Mwananchi08 Jun
‘Mchakato wa Katiba uliyumbishwa’
Agosti 5 mwaka huu ‘kipenga’ kinatarajiwa kupulizwa tena na Spika wa Bunge la Katiba Samwel Sitta. Atawataka tena wajumbe wa Bunge hilo kufika Dodoma ili waendelee na ng’we waliyoacha katika kukamilisha kazi ya kupitia Rasimu ya Pili ya Katiba na kuiboresha.
10 years ago
Mwananchi19 Apr
KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya
>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mchakato wa katiba kusitishwa Tanzania
Kumekuwa na maoni tofauti kufuatia hatua ya kusitisha mchakato wa kura ya maoni ya Katiba Mpya nchini Tanzania.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania