Mchakato wa katiba kusitishwa Tanzania
Kumekuwa na maoni tofauti kufuatia hatua ya kusitisha mchakato wa kura ya maoni ya Katiba Mpya nchini Tanzania.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Mchakato wa Katiba
Sisi, wajumbe wa Jukwaa la Wakristo Tanzania, tuliokutana tarehe 27 hadi 28 Agosti, 2014, Dar es Salaam , tumepata fursa ya kutafakari, kujadili na kujielimisha kwa kina yaliyomo katika Rasimu ya pili ya Katiba na mjadala unaoendelea katika Bunge Maalumu la Katiba. Baada ya mjadala wa kina, tunatoa tamko letu kama ifuatavyo:
11 years ago
Mwananchi21 May
Paschal Chibala: Uswahiba ndiyo ulioharibu mchakato wa Katiba Mpya Tanzania
>Ni mwanasiasa kijana ambaye ndoto yake ni kufikia mafanikio makubwa. Hata hivyo, anaamini safari bado ni ndefu, yenye milima na mabonde.
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Shinikizo la kusitishwa Bunge la Katiba
>Joto la kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), linazidi kupanda nchini baada ya wabunge na vyama vya siasa kuendelea kusisitiza kuwa Bunge hilo halina tija kwa taifa.
11 years ago
Michuzi28 Jul
SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
Sheikh wa msikiti wa Hidaya katika manispaa ya ...
10 years ago
Mwananchi22 Feb
MCHAKATO KATIBA MPYA: Hamad: Kwa nini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba
>Wakati Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba ukifikia hatua ya Kura ya maoni inayotarajiwa kupigwa Aprili 30 mwaka huu, watu wameendelea kutoa maoni yao.
11 years ago
MichuziLHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA UTUNGAJI WA KATIBA MPYA TANZANIA UNAOENDELEA DODOMA
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Mnyika asisitiza Bunge la Katiba kusitishwa
>Wakati hatima ya Bunge Maalumu la Katiba ikisubiri mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TDC) kesho, Mbunge wa Ubungo John Mnyika amesema sala ambazo Watanzania wanatakiwa kuomba ili kikao hicho kiweze kuwa na mafaniko zigeuzwa, badala yake waombe kusitishwa Bunge hilo .
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0362.jpg?width=650)
MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAZUNGUMZIA MCHAKATO KATIBA MPYA
Mwakilishi kutoka Asasi ya Wanawake ya Ulingo, Dk. Avemaria Semakafu (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka taasisi moja wapo inayounda Mtandao wa Wanawake na Katiba akiwasilisha mada katika mkutano huo. Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano na baadhi ya wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Mmoja...
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/en/7/78/Chadema_bendera.jpg)
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania