Maaskofu wanena Bunge la Katiba
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa pili kuhusu Katiba mpya kwa Watanzania, ambao umetuma ujumbe mzito kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ukisisitiza Katiba ijayo iwe ya kuleta mema, kuimarisha amani na utulivu wa nchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2Mr2GYGzBul8Y2H6AEuI1H5lgNkZPJp6MThvzuLYTvQjpwFPc4hV2C*rMM6YjRqTP1xWnoHRsl7VoGbjqaJFPLy/PENGOSAFI.jpg?width=650)
MAASKOFU WATIA NENO BUNGE LA KATIBA
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo . Stori: Mwandishi Wetu, Iringa
MAASKOFU wa Madhehebu ya Kikristo mkoani hapa wamelionya bunge la katiba na kuwataka wajumbe wake kuzingatia mahitaji ya wananchi wakati wa kuandika katiba mpya. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex… ...
11 years ago
Michuzi19 Feb
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Bagonza: Maaskofu hatujagawanyika kuhusu Katiba
Dar es Salaam. Mjadala kuhusu tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania umezidi kupamba moto baada ya Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzani (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, kupinga kuwapo kwa mgawanyiko miongoni mwao kama unavyosemwa na Serikali.
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Maaskofu Jukwaa la Wakristo: kataeni Katiba
Jukwaa la Wakristo Tanzania limewataka waumini wake kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuisoma Katiba Inayopendekezwa na kujitokeza kuikataa kwa kupiga kura ya “hapanaâ€.
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa. Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Masheikh wataka maaskofu waliache Bunge lifanye kazi
Siku mbili baada ya Jukwaa la Wakristo Tanzania kutoa hoja zake kutaka Serikali kuondoa muswada wa sheria itakayosimamia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi, Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu imelitaka jukwaa hilo kuacha kuingilia Bunge.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmwsY5mfH1CxQByRoouv0VtMVSPufTmZz8iLYRuRvtXFD6WW0D1U-wwmXMVwCeZ9OGpDxVweMVktK6a-ePCS4cJk/myprez1.jpg?width=650)
HILI LA KATIBA, HIVI UBAYA WA MAASKOFU UKO WAPI?
Rais Jakaya Kikwete. WIKI moja iliyopita kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoendana na hali ya kisiasa ya taifa letu kwa sasa. Yote yamezaliwa kutokana na kauli iliyotolewa na Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuhusu Katiba Inayopendekezwa. Vyombo hivyo viwili vya dini ya Kikristo, baada ya kuelezea mapungufu yaliyokuwemo katika mchakato mzima wa kuipata Katiba Inayopendekezwa,...
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Maaskofu wa Jukwaa la Wakristo wamekoleza moto kuikataa Katiba
Gazeti la Mwananchi la Machi 13, 2015 lilibeba ujumbe mzito kwa Watanzania. Kichwa cha habari kimoja kilisomeka: “Maaskofu: Pigieni Katiba kura ya hapana.â€
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania