Bagonza: Maaskofu hatujagawanyika kuhusu Katiba
Dar es Salaam. Mjadala kuhusu tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania umezidi kupamba moto baada ya Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzani (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, kupinga kuwapo kwa mgawanyiko miongoni mwao kama unavyosemwa na Serikali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo15 Mar
‘MAASKOFU HATUNA MAMLAKA YA KUWAAMULIA WAUMINI KUHUSU KATIBA MPYA’ - PENGO
UFUATAO ni ujumbe mfupi wa Muadhama Polycarp Kardinali Pengo alioutoa leo katika Kanisa la St. Joseph jijini Dar es Salaam kuhusiana na waraka wa maaskofu uliotolewa hivi karibuni kwa Wakristo nchini kujiandikisha kikamilifu na kisha kuikataa Katiba Inayopendekezwa wakati wa kura ya maoni kwa vile haikujadiliwa kiuadilifu.
"Maaskofu hatuna mamlaka ya kuwaamulia/kuwalazimisha waumini wetu wafanye uamuzi gani kuhusu katiba, kuwaamulia ni kuwadharau kuwa...
10 years ago
GPL‘MAASKOFU HATUNA MAMLAKA YA KUWAAMULIA WAUMINI KUHUSU KATIBA MPYA’ - PENGO
10 years ago
Dewji Blog17 Mar
Sauti ya Muadhama, Askofu Mkuu Kardinali Pengo akizungumzia kuhusu tamko la Maaskofu juu ya Katiba pendekezwa
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.
11 years ago
Michuzi19 Feb
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/en/7/78/Chadema_bendera.jpg)
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
11 years ago
Habarileo07 Jul
Maaskofu wanena Bunge la Katiba
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa pili kuhusu Katiba mpya kwa Watanzania, ambao umetuma ujumbe mzito kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ukisisitiza Katiba ijayo iwe ya kuleta mema, kuimarisha amani na utulivu wa nchi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2Mr2GYGzBul8Y2H6AEuI1H5lgNkZPJp6MThvzuLYTvQjpwFPc4hV2C*rMM6YjRqTP1xWnoHRsl7VoGbjqaJFPLy/PENGOSAFI.jpg?width=650)
MAASKOFU WATIA NENO BUNGE LA KATIBA
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Maaskofu Jukwaa la Wakristo: kataeni Katiba
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Ehg9k46RGpY/VehcBtswJtI/AAAAAAAAANU/Hc9ne9aufis/s72-c/kilaini.jpg)
ASKOFU KILAINI AMVAA DR SLAA KUHUSU MAASKOFU KUHONGWA NA LOWASSA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ehg9k46RGpY/VehcBtswJtI/AAAAAAAAANU/Hc9ne9aufis/s640/kilaini.jpg)
Askofu Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini ameonesha kusikitishwa na kauli iliyotolewa hivi karibuni na Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa baadhi ya maaskofu wa kanisa hilo wamekuwa wakiohongwa fedha na wanasiasa akiwemo mgombea nafasi ya Urais Edward Lowassa.Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Bukoba amesema kuwa anaamini kuwa Dr slaa aliteleza kutoa kauli hiyo.