Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASKOFU KILAINI AMVAA DR SLAA KUHUSU MAASKOFU KUHONGWA NA LOWASSA


Askofu Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini ameonesha kusikitishwa na kauli iliyotolewa hivi karibuni na Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa baadhi ya maaskofu wa kanisa hilo wamekuwa wakiohongwa fedha na wanasiasa akiwemo mgombea nafasi ya Urais Edward Lowassa.Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Bukoba amesema kuwa anaamini kuwa Dr slaa aliteleza kutoa kauli hiyo.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Rose Kamili, Askofu Kilaini wamshukia Dk Slaa

Kauli ya Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema Dk Willibrod Slaa kuhusu hatma yake kisiasa imeendelea kutikisa baada ya mke wake wa zamani, Rose Kamili kuibuka na kusema amesikitishwa na kauli alizozitoa mume wake huyo alipozungumza na waandishi wa habari Septemba Mosi.

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu Gwajima: Tatizo la Dk Slaa si Lowassa

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alitumia takribani saa moja na dakika saba kujibu mashambulizi ya Dk Willibrod Slaa, akisema kilichomuondoa Chadema si uamuzi wa kumpa Edward Lowassa nafasi ya kugombea urais, bali mkewe Josephine Mushumbuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Gwajima: Siwezi kuwatupa Dk Slaa, Lowassa

>Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alihubiri akiwa katika kiti cha magurudumu na kusema hawezi kuwatupa Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kwa kuwa ni marafiki zake wa siku nyingi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Sauti ya Muadhama, Askofu Mkuu Kardinali Pengo akizungumzia kuhusu tamko la Maaskofu juu ya Katiba pendekezwa

pengo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.

 

10 years ago

GPL

KUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU

Na waandishi Wetu NIkweli, ukweli ni huu! Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na kupewa fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho, ukweli wa jambo hilo umeibuliwa, Uwazi linakupa zaidi. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1N6u2sS...

 

9 years ago

TheCitizen

Kilaini responds to Slaa’s charges

Bishop Kilaini says Slaa’s utterings uncalled for

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Kilaini, Nzigirwa wazungumzia tuhuma

Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini amekiri kupokea Sh80.5 milioni kutoka kwa Mkurugenzi wa VIP Engeering, James Rugemalira akisema si mara yake kwa kwanza kupokea fedha kutoka kwa mfanyabiashara huyo kwa kuwa mara nyingi huwa anachangia kwa uwazi miradi ya jamii.

 

11 years ago

Michuzi

Askofu Kilaini alibariki Tamasha la Pasaka


UTAMADUNI huu ulioanza wa waamini licha ya kusali, pia wakaenda kusherehekea sikukuu hizi za kiroho ni mgeni na mzuri kwa kuwa unawajenga watu kiroho, na kuwaepushia uwezekano wa kutumbukia katika matatizo kwa kwenda katika maeneo mbalimbali ya sterehe; Amesema Askofu Method Kilaini.
Mhashamu Kilaini ambaye ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, ameyasema hayo alipozungumza na Gazeti hili kuhusu Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika katika jiji la Dar es Salaam, Aprili 20...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani