Askofu Gwajima: Siwezi kuwatupa Dk Slaa, Lowassa
>Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alihubiri akiwa katika kiti cha magurudumu na kusema hawezi kuwatupa Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kwa kuwa ni marafiki zake wa siku nyingi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Askofu Gwajima: Tatizo la Dk Slaa si Lowassa
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Dk Slaa asubiri majibu ya Askofu Gwajima
10 years ago
GPLPAUL MAKONDA, DK SLAA WAMJULIA HALI ASKOFU GWAJIMA
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-FeTrEWB8k2E/VSJoWoqTXyI/AAAAAAAArW0/y9qZK6MlMLE/s72-c/gwajimaz.jpg)
Gwajima Asema Atakufa na Lowassa na Dr. Slaa, Asisitiza huu sio Muda wa Kuchaguliana Marafiki
![](http://3.bp.blogspot.com/-FeTrEWB8k2E/VSJoWoqTXyI/AAAAAAAArW0/y9qZK6MlMLE/s640/gwajimaz.jpg)
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alihubiri akiwa katika kiti cha magurudumu na kusema hawezi kuwatupa Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kwa kuwa ni marafiki zake wa siku nyingi.Pia askofu huyo, amewataka waumini wote wa kanisa hilo kufika katika Kituo Kikuu cha Polisi, Alhamisi ijayo siku ambayo atakwenda kukamilisha mahojiano dhidi ya tuhuma za kumtukana Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Ehg9k46RGpY/VehcBtswJtI/AAAAAAAAANU/Hc9ne9aufis/s72-c/kilaini.jpg)
ASKOFU KILAINI AMVAA DR SLAA KUHUSU MAASKOFU KUHONGWA NA LOWASSA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ehg9k46RGpY/VehcBtswJtI/AAAAAAAAANU/Hc9ne9aufis/s640/kilaini.jpg)
Askofu Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini ameonesha kusikitishwa na kauli iliyotolewa hivi karibuni na Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa baadhi ya maaskofu wa kanisa hilo wamekuwa wakiohongwa fedha na wanasiasa akiwemo mgombea nafasi ya Urais Edward Lowassa.Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Bukoba amesema kuwa anaamini kuwa Dr slaa aliteleza kutoa kauli hiyo.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kbZiIpIYoqA/VF92HhFULkI/AAAAAAAGwNI/Zhpzte5Tqvk/s72-c/unnamed.jpg)
Lowassa azindua helkopta ya kanisa la ufufuo na uzima, Askofu Gwajima ataka apewe eneo la Tanganyika Parkers
10 years ago
Habarileo27 Mar
Polisi wamsaka Askofu Gwajima
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wamefungua jalada la uchunguzi dhidi ya tuhuma za Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima za tuhuma za kumkashifu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhamana Polycarp Kardinali Pengo.
10 years ago
Habarileo12 Apr
Askofu Gwajima ajipalia makaa
HATUA ya mawakili wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kutengeneza ubishi wa kisheria katika agizo la Polisi la kuwasilisha nyaraka za mali za Askofu huyo, imeelezwa kuwa ni ukaidi ambao hautamsaidia kisheria.
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Sura mbili za Askofu Gwajima
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SIKU chache baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukamatwa na kuhojiwa na polisi na hatimaye kuzimia, utata mpya umeibuka juu ya kiongozi huyo wa kiroho.
Utata huo unahusu uraia, historia yake, utajiri na umiliki wa silaha ambayo Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linadai haina kibali huku yeye akidai ana vibali vyote.
Hali hiyo imeibuka huku nyuma ya pazia kukiwa na sintofahamu juu ya hatima yake.
Ingawa Askofu Gwajima,...