Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa azindua helkopta ya kanisa la ufufuo na uzima, Askofu Gwajima ataka apewe eneo la Tanganyika Parkers

Joseph Zablon, Kawe Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa ameahidi kumsaidiana kwa maombi na njia zingine, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ili aweze kulipata eneo la Tanganyika Pakers analolitumia kwa mahubiri ili ajenge kanisa kwa ajili ya waumini wake. Kauli ya Lowassa imefuatia ombi la askofu huyo wakati wa uzinduzi wa helkopta ya kanisa hilo ambayo ameahidi kuitumia kwa ajili ya kusaidia majanga yanapotokea na pia kusambaza neno la Mungu ambako alidai...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mh. Lowassa azindua helkopta ya kanisa la ufufuo na uzima

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Othman Michuzi.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye viwanja vya kawe lilipo Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima leo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa kwenye kwenye...

 

10 years ago

GPL

MH. LOWASSA AZINDUA HELKOPTA YA KANISA LA UFUNUO NA UZIMA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima, Kawe jijini Dar es Salaam jana.…

 

11 years ago

GPL

KANISA LA UFUFUO LATOA SHUKRANI YA KUPATA HELKOPTA

Christina Shusho na Flora Mbasha wakiimba sambamba na waumini wengine waliohudhuria misa hiyo. Flora Mbasha akiimba katika kanisa la Gwajima. Halima Mdee akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia waumini wa kanisa…

 

10 years ago

Mtanzania

Askofu Gwajima ataka kutoroshwa Kimafia

gwajimaNa Waandishi Wetu,Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia wafuasi 15 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa tuhuma za kutaka kumtorosha Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Josephat Gwajima.
Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ, Mikocheni Dar es Salaam, baada ya kupata mshituko wakati akihojiwa na makachero wa Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu...

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu Gwajima: Tatizo la Dk Slaa si Lowassa

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alitumia takribani saa moja na dakika saba kujibu mashambulizi ya Dk Willibrod Slaa, akisema kilichomuondoa Chadema si uamuzi wa kumpa Edward Lowassa nafasi ya kugombea urais, bali mkewe Josephine Mushumbuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Gwajima: Siwezi kuwatupa Dk Slaa, Lowassa

>Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alihubiri akiwa katika kiti cha magurudumu na kusema hawezi kuwatupa Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kwa kuwa ni marafiki zake wa siku nyingi.

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCT ASKOFU CHEYO AZINDUA UJENZI WA KANISA LA MORAVIAN TANZANIA USHIRIKA WA MABIBO JIJINI DAR ES SALAAM

Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) Akikata keki  ishara  ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Kanisa jipya la Moravian Tanzania, Ushirika wa Mabibo ambapo Ibada ya uzinduzi ilifanyika katika kanisa hilo Jijini Dar es Salaam. Dkt. Rt.  Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT), Akitoa neno wakati wa uzinduzi...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCT ASKOFU CHEYO AZINDUA UJENZI WA KANISA JIPYA LA MORAVIAN TANZANIA USHIRIKA WA MABIBO JIJINI DAR ES SALAAM


Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo  akikata keki  ishara  ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Kanisa jipya la Moravian Tanzania, Ushirika wa Mabibo ambapo Ibada ya uzinduzi ilifanyika katika kanisa hilo Jijini Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT), Dkt. Rt.  Alinikisa Cheyo Akitoa neno wakati wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe ataka JK apewe Tuzo ya Katiba

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Yusuph Manyanga amependekeza Bunge hilo na Serikali kuandaa tuzo maalumu ya kumpatia aliyekuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo, Pandu Ameir Kificho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani