KANISA LA UFUFUO LATOA SHUKRANI YA KUPATA HELKOPTA
Christina Shusho na Flora Mbasha wakiimba sambamba na waumini wengine waliohudhuria misa hiyo. Flora Mbasha akiimba katika kanisa la Gwajima. Halima Mdee akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia waumini wa kanisa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Mh. Lowassa azindua helkopta ya kanisa la ufufuo na uzima



10 years ago
Michuzi
Lowassa azindua helkopta ya kanisa la ufufuo na uzima, Askofu Gwajima ataka apewe eneo la Tanganyika Parkers
10 years ago
GPL
MH. LOWASSA AZINDUA HELKOPTA YA KANISA LA UFUNUO NA UZIMA
10 years ago
Habarileo19 Dec
Kanisa latoa msaada wa vyandarua 2,700
MADHEHEBU ya dini nchini yametakiwa kueneza upendo na kujali maisha ya watu bila kujali itikadi na imani zao ili kuleta utengamano wa kitaifa.
11 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Kanisa latoa tahadhari kwa waumini
WAZEE wa Kanisa la Ufunuo lililopo Sinza, Dar es Salaam, wametoa tahadhari kwa waumini wa kanisa hilo kuwa makini na watu wanaotumia majina ya watu kuchafua viongozi hao. Akizungumza na...
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Kanisa Katoliki latoa msimamo Katiba Mpya
11 years ago
Habarileo26 Feb
Kanisa Katoliki latoa wito Bunge la Katiba
KANISA Katoliki Jimbo la Bunda, mkoani Mara, limetoa wito kwa wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba, kujadiliana vizuri, ili kuweza kupata Katiba nzuri kwa manufaa ya wananchi wote bila kujali maslahi ya mtu wala itikadi ya chama chochote cha siasa.
10 years ago
Dewji Blog29 Jun
Kanisa la Methodist latoa msaada kwa walemavu Chato
Mchungaji wa kanisa la Methodist Huru Tanzania (FMCT), Conrad Edimud Bitoye (kulia) akikabidhi msaada wa nafaka na vitu mbalimbali kwa Katibu wa Chama cha walemavu mkoa wa Geita Sokolo Samweli.
Deborah Bookher akizindua rasmi kisima cha bomba katika kijiji cha Ibondo kata ya Buseresere wilayani Chato.
Deborah Bookher akishiriki chakula cha pamoja na walemavu.
Na Alphonce Kabilondo, Chato
KANISA la Methodist Huru Tanzania (FMCT) Jimbo la Geita mkoani Geita limetoa msaada wa nafaka mchele...
11 years ago
Habarileo03 Feb
Kanisa Katoliki latoa hofu waumini kuhusu sakramenti
UONGOZI wa Kanisa Katoliki nchini umewatoa hofu waumini wake, kuhusu uwepo wa baadhi ya makanisa yanayodaiwa kuuza sakramenti na kueleza kuwa suala hilo haliwahusu.