MH. LOWASSA AZINDUA HELKOPTA YA KANISA LA UFUNUO NA UZIMA
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima, Kawe jijini Dar es Salaam jana.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMh. Lowassa azindua helkopta ya kanisa la ufufuo na uzima
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Othman Michuzi.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye viwanja vya kawe lilipo Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima leo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa kwenye kwenye...
10 years ago
MichuziLowassa azindua helkopta ya kanisa la ufufuo na uzima, Askofu Gwajima ataka apewe eneo la Tanganyika Parkers
Joseph Zablon, Kawe Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa ameahidi kumsaidiana kwa maombi na njia zingine, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ili aweze kulipata eneo la Tanganyika Pakers analolitumia kwa mahubiri ili ajenge kanisa kwa ajili ya waumini wake. Kauli ya Lowassa imefuatia ombi la askofu huyo wakati wa uzinduzi wa helkopta ya kanisa hilo ambayo ameahidi kuitumia kwa ajili ya kusaidia majanga yanapotokea na pia kusambaza neno la Mungu ambako alidai...
11 years ago
GPLKANISA LA UFUFUO LATOA SHUKRANI YA KUPATA HELKOPTA
Christina Shusho na Flora Mbasha wakiimba sambamba na waumini wengine waliohudhuria misa hiyo. Flora Mbasha akiimba katika kanisa la Gwajima. Halima Mdee akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia waumini wa kanisa…
10 years ago
GPLPAUL MAKONDA AZINDUA IBADA YA MAKUNDI MAALUMU KATIKA KANISA LA KILUTHERI USHARIKA WA KIGOGO DAR
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kigogo na vijana waliopo katika kundi maalumu kutokana na kuathiriwa na matumizi ya dawa za kulevya wakati akizindua ibada ya makundi maalumu iliyoanzishwa katika kanisa hilo Dar es Salaam jana.  Msaidizi mstaafu wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), George Fute...
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
DC Makonda azindua ibada ya makundi maalumu katika kanisa la Kilutheri Usharika wa Kigogo Jijini Dar
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kigogo na vijana waliopo katika kundi maalumu kutokana na kuathiriwa na matumizi ya dawa za kulevya wakati akizindua ibada makundi maalumu iliyoanzishwa katika kanisa hilo Dar es Salaam jana.
Msaidizi mstaafu wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), George Fute (kulia), akimpongeza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda kwa kuteuliwa...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA UTUME (MISSION EXTRAVAGANZA) ZA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani kwenye sherehe za uzinduzi wa Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) zilizofanyika leo Februari 06,2015 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani wakiwa kwenye maandamano wakati wa sherehe za uzinduzi wa Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) wa kanisa hilo zilizofanyika leo Februari 06,2015 uwanja wa...
9 years ago
VijimamboLOWASSA ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KANISA LA KKKT MONDULI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishiriki na waumini wenzake wa kikristo katika ibada ya Jumapili, Kwenye Kanisa la KKKT Usharika wa Monduli, Jijini Arusha, leo Agosti 16, 2015.
5 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CCT ASKOFU CHEYO AZINDUA UJENZI WA KANISA LA MORAVIAN TANZANIA USHIRIKA WA MABIBO JIJINI DAR ES SALAAM
Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) Akikata keki ishara ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Kanisa jipya la Moravian Tanzania, Ushirika wa Mabibo ambapo Ibada ya uzinduzi ilifanyika katika kanisa hilo Jijini Dar es Salaam. Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT), Akitoa neno wakati wa uzinduzi...
5 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CCT ASKOFU CHEYO AZINDUA UJENZI WA KANISA JIPYA LA MORAVIAN TANZANIA USHIRIKA WA MABIBO JIJINI DAR ES SALAAM
Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo akikata keki ishara ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Kanisa jipya la Moravian Tanzania, Ushirika wa Mabibo ambapo Ibada ya uzinduzi ilifanyika katika kanisa hilo Jijini Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT), Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo Akitoa neno wakati wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania