Askofu Kilaini alibariki Tamasha la Pasaka
![](http://2.bp.blogspot.com/-qEIGUk-O2Yg/Uycna6zgERI/AAAAAAACcsg/OZ7B8lTYtus/s72-c/download.jpg)
UTAMADUNI huu ulioanza wa waamini licha ya kusali, pia wakaenda kusherehekea sikukuu hizi za kiroho ni mgeni na mzuri kwa kuwa unawajenga watu kiroho, na kuwaepushia uwezekano wa kutumbukia katika matatizo kwa kwenda katika maeneo mbalimbali ya sterehe; Amesema Askofu Method Kilaini.
Mhashamu Kilaini ambaye ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, ameyasema hayo alipozungumza na Gazeti hili kuhusu Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika katika jiji la Dar es Salaam, Aprili 20...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Askofu Kilaini, Nzigirwa wazungumzia tuhuma
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Rose Kamili, Askofu Kilaini wamshukia Dk Slaa
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Askofu Kilaini ahimiza uwekezaji katika ndoa
Na Joan John, Kagera
ASKOFU Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Mhashamu, Methodius Kilaini amewataka wanandoa nchini kuwekeza katika ndoa zao ili kuweza kujenga familia imara.
Askofu Kilaini alisema hayo juzi katika misa ya pili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki mjini Bukoba ambapo alisema kuwa bila wanandoa kuwekeza katika ndoa zao, kamwe hawawezi kujenga familia imara.
Alisema Wakristo wanapaswa kujenga tabia ya uvumilivu, upendo, amani, kuthaminiana, kuheshimiana katika...
11 years ago
Michuzi04 Apr
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Ehg9k46RGpY/VehcBtswJtI/AAAAAAAAANU/Hc9ne9aufis/s72-c/kilaini.jpg)
ASKOFU KILAINI AMVAA DR SLAA KUHUSU MAASKOFU KUHONGWA NA LOWASSA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ehg9k46RGpY/VehcBtswJtI/AAAAAAAAANU/Hc9ne9aufis/s640/kilaini.jpg)
Askofu Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini ameonesha kusikitishwa na kauli iliyotolewa hivi karibuni na Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa baadhi ya maaskofu wa kanisa hilo wamekuwa wakiohongwa fedha na wanasiasa akiwemo mgombea nafasi ya Urais Edward Lowassa.Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Bukoba amesema kuwa anaamini kuwa Dr slaa aliteleza kutoa kauli hiyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91sldHDSCbTM6GvTBsKkwvEbs2206k*scEhaslSfZHX2pUDpMxbEfSPWAGw0xgvZkQLCMmz4fZm0um6LsVIQYQl*n3/KILAINI.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI ASKOFU METHOD KILAINI, NINGEJIUZULU WADHIFA WANGU
11 years ago
Michuzi16 Apr
KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/mu4i9qV6CtseExo4S14E9FBdDx5E-RTJ9mPA0B981EEOuuU3JgCFA-h2xtNWQXXAm7Z2tK6HCsSXZZms6zvveMMhOD-H1JmgY6494wyFqSzldt5DiztBYKt9Vy1QzDEJuxUeGhVmQBWcDJ1EcyIq2cCGxHvCgovmtQLE0YaIQbmiX5rplWqp-0tP5F7QuCvMXAkQbSMOrqdavTIZUqzuWgvfHl-S9pPDP0tSQf4Z4ItaKN4uW8ed5DcZZvblwhZhvqUfH6ko2G6FTQftFCef2FTd5oD6sBOcpF91VY02BGsV3xoijj4zDXGRKiGi3IWlMUs_DKktLZtweVOaYSN2RqDMsb7BEP0=s0-d-e1-ft#https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-zcKVjNsVVhQ%2FU01Q1lx2slI%2FAAAAAAAAVkM%2FuxQON5LjPVk%2Fs1600%2Fkapotive%2B2000.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...
9 years ago
Vijimambo03 Oct
ASKOFU KILAINI; SIFA KUU NNE ZA MGOMBEA AMBAYE ATAKUWA RAIS WA NCHI:
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kilaini(2).jpg)
Askofu wa kanisa Katoliki,siku ya trh 26-09-2015 alinukuliwa akitaja sifa za mgombea anaepaswa kuchaguliwa kuwa Rais wa awamu ya tano Tanzania.1. Mwadilifuamesema nchi yetu ilipofika inahitaji mtu/rais ambaye anao uadilifu wa kweli na wa hali ya juu ili kuleta uongozi uliojaa uadilifu na nidhamu katika kuhakikisha kuwa watanzania wananufaika na kufurahia nchi yao na mambo yake yote.2. Uchapa kazi kwa vitendo na Nidhamu,nchi hii inayo rasilimali za kutosha ambapo zikitumika vyema watanzania...