Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASKOFU KILAINI; SIFA KUU NNE ZA MGOMBEA AMBAYE ATAKUWA RAIS WA NCHI:



Askofu wa kanisa Katoliki,siku ya trh 26-09-2015 alinukuliwa akitaja sifa za mgombea anaepaswa kuchaguliwa kuwa Rais wa awamu ya tano Tanzania.1. Mwadilifuamesema nchi yetu ilipofika inahitaji mtu/rais ambaye anao uadilifu wa kweli na wa hali ya juu ili kuleta uongozi uliojaa uadilifu na nidhamu katika kuhakikisha kuwa watanzania wananufaika na kufurahia nchi yao na mambo yake yote.2. Uchapa kazi kwa vitendo na Nidhamu,nchi hii inayo rasilimali za kutosha ambapo zikitumika vyema watanzania...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Askofu azungumzia sifa za Rais ajaye

ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela amezungumzia sifa za rais ajae na kusema haoni shida nchi ikipata rais kijana.

 

11 years ago

Michuzi

Askofu Kilaini alibariki Tamasha la Pasaka


UTAMADUNI huu ulioanza wa waamini licha ya kusali, pia wakaenda kusherehekea sikukuu hizi za kiroho ni mgeni na mzuri kwa kuwa unawajenga watu kiroho, na kuwaepushia uwezekano wa kutumbukia katika matatizo kwa kwenda katika maeneo mbalimbali ya sterehe; Amesema Askofu Method Kilaini.
Mhashamu Kilaini ambaye ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, ameyasema hayo alipozungumza na Gazeti hili kuhusu Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika katika jiji la Dar es Salaam, Aprili 20...

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Kilaini, Nzigirwa wazungumzia tuhuma

Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini amekiri kupokea Sh80.5 milioni kutoka kwa Mkurugenzi wa VIP Engeering, James Rugemalira akisema si mara yake kwa kwanza kupokea fedha kutoka kwa mfanyabiashara huyo kwa kuwa mara nyingi huwa anachangia kwa uwazi miradi ya jamii.

 

9 years ago

Mwananchi

Rose Kamili, Askofu Kilaini wamshukia Dk Slaa

Kauli ya Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema Dk Willibrod Slaa kuhusu hatma yake kisiasa imeendelea kutikisa baada ya mke wake wa zamani, Rose Kamili kuibuka na kusema amesikitishwa na kauli alizozitoa mume wake huyo alipozungumza na waandishi wa habari Septemba Mosi.

 

9 years ago

Mtanzania

Askofu Kilaini ahimiza uwekezaji katika ndoa

Kilaini(2)Na Joan John, Kagera

ASKOFU Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Mhashamu, Methodius Kilaini amewataka wanandoa nchini kuwekeza katika ndoa zao ili kuweza kujenga familia imara.

Askofu Kilaini alisema hayo juzi katika misa ya pili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki mjini Bukoba ambapo alisema kuwa bila wanandoa kuwekeza katika ndoa zao, kamwe hawawezi kujenga familia imara.

Alisema Wakristo wanapaswa kujenga tabia ya uvumilivu, upendo, amani, kuthaminiana, kuheshimiana katika...

 

10 years ago

GPL

SIFA 8 ZA MWANAMKE AMBAYE NI ‘WIFE MATERIAL’!

Kuoa/kuolewa ni jambo muhimu sana katika maisha ya kila binadamu. Ndiyo maana inaelezwa kuwa, matukio makubwa muhimu katika maisha ya kila mtu ni kuzaliwa, ndoa na kufa!Kutokana na ukweli huo, vijana wengi wamekuwa wakitamani kuoa na kuolewa lakini utafiti mdogo nilioufanya unaonesha kwamba, wasichana wengi wamekuwa wakiitamani ile heshima ya kuolewa. Hawataki kuwa viruka njia, wanataka waipate ile raha ya ndoa, raha ya kuitwa...

 

9 years ago

Bongo5

Hizi ndio sifa za mwanamke ambaye AY atataka kumuoa

Rapper Ambwene Yessaya aka AY amezitaja sifa za mwanamke ambaye atakuja kumuoa pindi muda ukifika. “Wanawake wazuri wapo wengi,” alisema” Nimekutana na wengi bali kuchagua mke sahihi ni kitu kinachohitaji busara na endapo nikisema niangalie uzuri wa mwanamke nitapoteza malengo yangu. Nahitaji mwanamke ambaye yupo smart kichwani,” AY aliliambia gazeti la mwananchi. Pia AY alisema […]

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI ASKOFU METHOD KILAINI, NINGEJIUZULU WADHIFA WANGU

Askofu Method Kilaini. Salaam baba Askofu Method Kilaini.
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na majukumu yako ya kuchunga kondoo wa Bwana. Najua itakuwa vigumu kwa mimi kuonana na wewe kutokana na umbali uliopo kati ya Dar es Salaam na Bukoba lakini hilo halinizuii kukufikishia ujumbe wangu. Baba askofu, mimi sikuzaliwa Machi 30, 1948 kwenye kijiji kilichozungukwa na migomba cha Katoma, Bukoba kama wewe. Sikusomea...

 

9 years ago

Vijimambo

ASKOFU KILAINI AMVAA DR SLAA KUHUSU MAASKOFU KUHONGWA NA LOWASSA


Askofu Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini ameonesha kusikitishwa na kauli iliyotolewa hivi karibuni na Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa baadhi ya maaskofu wa kanisa hilo wamekuwa wakiohongwa fedha na wanasiasa akiwemo mgombea nafasi ya Urais Edward Lowassa.Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Bukoba amesema kuwa anaamini kuwa Dr slaa aliteleza kutoa kauli hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani