Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maaskofu wataka JK aendeleze fagio lake

Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar, Michael Hafidh (kulia) akifurahi jambo na Fred Msongole aliyebeba mtoto wake, Jonathan Msongole (miezi 8) baada ya kukamilisha ibada ya Sikukuu ya Krismasi iliyofanyika kitaifa katika Kanisa la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).MAASKOFU wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini, wamepongeza uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kuwajibisha watendaji wake, huku wakimtaka asiishie kuchukua hatua kwa waliotajwa kuhusika na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow pekee, bali pia wazembe na wote wanaokutwa na tuhuma mbalimbali katika utawala wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Maaskofu wataka timuatimua kanisani

TIMUATIMUA inayoendelea kufanywa na Papa Francis katika benki ya Vatican, imevutia maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini ambao wameshauri katika miradi ya Kanisa hilo nchini, hata kama hiyo ichukuliwe kukitokea kutowajibika. Wakizungumza na gazeti hili hivi karibuni, maaskofu wa Kanisa hilo nchini walisema hatua aliyochukua Papa Francis ya kuondoa madarakani makadinali wanne waliokuwa wasimamizi wa benki ya Vatican ni nzuri.

 

11 years ago

Mwananchi

Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

>Maaskofu 32 wa Kanisa Katoliki Tanzania, wametoa waraka maalumu wa Pasaka wakiwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuheshimu maoni ya Watanzania yaliyomo katika Rasimu ya Katiba na kuweka pembeni itikadi za kisiasa katika mchakato wa kuandika Katiba Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Masheikh wataka maaskofu waliache Bunge lifanye kazi

Siku mbili baada ya Jukwaa la Wakristo Tanzania kutoa hoja zake kutaka Serikali kuondoa muswada wa sheria itakayosimamia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi, Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu imelitaka jukwaa hilo kuacha kuingilia Bunge.

 

5 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Fagio la Mwakyembe kule Uchukuzi, Sitta umeliona au…

Ni dhahiri kusema kuwa kufanya kazi na Rais Jakaya Kikwete na hasa ukiwa mmoja wa wasaidizi wake wa karibu kwa hakika ni mzigo mzito.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Kampeni ya Nipe Fagio yasherehekea Valentine’s Day kwa kusafisha fukwe za Msasani

Kampeni ya Nipe Fagio iliitumia weekend ya Valentine’s Day kusafisha fukwe za Msasani jijini Dar es Salaam. Wiista, Kiche na Mswati “Siku hiyo ya Valentines tulikusanya magunia ya uchafu 112 kwa kushirikiana na wananchi wa Msasani wakiongozwa na mwenyekiti wao Mr. Seif Soud Seif kwa kushirikiana na Nipe Fagio pamoja na Archipelago Productions,” amesema Ben […]

 

9 years ago

Michuzi

KOMBE AMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWAPATIA JAMBO LEO FAGIO ZA USAFI SIKUKUU YA UHURU

 Waandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, wakifurahia kupata fagio walizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Zahanati ya Mji Mwema Kigamboni, Dar es Salaam, Omary Kombe (kulia), katika hafla iliyofanyika katika chumba cha habari cha gazeti hilo, Dar es Salaam. Kombe ametoa msaada huo kuunga mkono maelekezo ya Rais Dk. John Magufuli ya kufuta sherehe za Sikukuu ya Uhuru ili wananchi washiriki siku hiyo kufanya usafi wa mazingira kwa lengo la kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini. (PICHA...

 

10 years ago

TheCitizen

LAKE ZONE: Fresh killings rock Lake Zone towards Christmas

>Brutal killings of elderly people have been reported in the Lake Zone ahead of the festive season, The Citizen has learnt.

 

11 years ago

GPL

MAASKOFU, FREEMASON...

BAADHI ya viongozi wa dini nchini wamesema kwamba Watanzania wengi wamekuwa na imani na mambo ya kishirikina wakiamini kuwa wanaweza kubadili maisha kwa njia ya kuwa wanachama wa Imani ya Freemason badala ya kutumia akili huku wakiweka imani kwa Mungu. Akizugumza kupitia Radio Wapo FM, Rais wa WAPO Mission International, Askofu Sylvester Gamanywa amesema Januari 14, mwaka huu alitangaza Oparesheni Milikisha ambaypo watu wanaweza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani