Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Kampeni ya Nipe Fagio yasherehekea Valentine’s Day kwa kusafisha fukwe za Msasani

Kampeni ya Nipe Fagio iliitumia weekend ya Valentine’s Day kusafisha fukwe za Msasani jijini Dar es Salaam. Wiista, Kiche na Mswati “Siku hiyo ya Valentines tulikusanya magunia ya uchafu 112 kwa kushirikiana na wananchi wa Msasani wakiongozwa na mwenyekiti wao Mr. Seif Soud Seif kwa kushirikiana na Nipe Fagio pamoja na Archipelago Productions,” amesema Ben […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Vituko vya Valentine’s day: Ndoa zafungwa kwa staili yake ndani ya jeneza siku ya wapendanao! (Picha)

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand. Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao. Chanzo: Daily Mail

 

10 years ago

Vijimambo

VALENTINE'S DAY NORTH CAROLINA KATIKA PICHA

Umoja wa Watanzania North Carolina unatoa shukrani kwa wanajumuiya waliofanikisha UTNC Valentine’s day A Tribute to Love Fundraising Dinner. Tunashukuru wote walioweza kuja na walioshindwa kuja kutokana na sababu mbalimbali.
(Photos by Lucas Mmanywa)Mwenyekiti Anna akifuatilia eventShabani akimpa mkewe zawadi kubwa siku ya valentine 2015Eliud na Mama mwenye nyumba wakeDr. Joshua na wife wake waki celebrateMariam na Husband waki enjoy dancePicha kwa hisani ya http://www.utnc.org/blogKwa picha...

 

10 years ago

Michuzi

manispaa za jiji la dar es salaam zaagizwa kubomoa majengo katika sehemu za wazi, kusafisha fukwe

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. George Simbachawene akizungumza na viongozi na watendaji wa Manispaa tatu za Jiji la Dar es Salaam kuhusu maagizo ya namna ya kusimamia maeneo ya wazi. Pia, ametoa siku 14 kuanzia jana Alhamisi kwa Manispaa hizo kubomoa maeneo ya wazi yaliyovamiwa ambayo yalikwishatolewa Ilani. Aidha, Naibu Waziri ametoa siku 30 kwa Manispaa ya Kinondoni kuwasilisha ofisini  kwake utaratibu wa namna ya kusafisha fukwe. 

 Watendaji wa Manispaa zote...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Waigizaji wa Siri ya Mtungi na mashabiki wao walivyosherekea siku ya wapendanao " VALENTINE DAY"

Kila mtu anakumbuka kivyake VALENTINE yake ilivyoenda yani, mashabiki wa tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’ walipata nafasi ya kuenjoy na mastaa wanaoonekana kwenye tamthilia hiyo, Cheche pamoja na Cheusi.

Fans hao walipatikana kwenye shindano lililofanywa kwenye kurasa za Siri ya Mtungi kwenye Facebook, Instagram na Twitter, kazi ilikuwa rahisi tu, kuwashawishi wasanii hao kwa kutuma nyimbo, picha na video.

Walioshinda ni wawili, Wery Kuli na Nargis Swizzan.

Walienjoy pamoja chakula cha...

 

11 years ago

GPL

BIG BON WASHEREHEKEA VALENTINE'S DAY KWA KUTOA ZAWADI KWA WATEJA WAO

Wafanyakazi wa kituo cha kuuza mafuta cha Big Bon kilichopo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam wakipozi huku wakiwa na zawadi za Valentine's kwa ajili ya wateja wao. Mmoja wa wafanyakazi wa Big Bon akimpatia mteja zawadi kwa ajili ya Siku ya Wapendanao.…

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MAFUTA YA TOTAL YAHAMASISHA UPENDO KWA KUTOA ZAWADI YA 'VALENTINE DAY' KWA WATEJA


Meneja Maduka, Chakula na Huduma wa Kampuni ya Total nchini Tanzania Jane Mwita akitoa zawadi ya ua kama ishara ya upendo kwa wateja wao ambao wamefika kujaza mafuta katika Kituo cha Mafuta cha Total cha Mliman City jijini Dar es Salaam.Kampuni hiyo imeamua kusambaza upendo katika siku ya Valentine.
Meneja wa Kituo cha Mafuta cha Total Mliman City jijini Dar es Salaam Luqman Salum akitoa zawadi ya ua kwa mteja wao ambaye amefika kujaza mafuta kwenye kituo hicho leo siku ya Valentine...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dar Modern kuzindua mbili kwa mpigo Valentine’s Day

BAADA ya kundi la Dar Modern Taarab kuwatambulisha waimbaji wapya watano jana, linatarajia kufanya uzinduzi mpya wa albamu mbili kwa mpigo katika Ukumbi wa Travertine Magomeni jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Michuzi

AAR CELEBRATES WORLD ENVIRONMENT DAY AT MSASANI

AAR Insurance Tanzania Ltd celebrates the world environment day by involving in several environmental actions, doing cleanness along Kimweri Road, cleaning sewage channels, and removing all the abounded trashes along the road.
Speaking during the event, AAR Insurance Public Relations Officer, Mrs. Amisa Juma said, “Being one of the leading companies in Health Insurance and major contributors in Health services in the country, it is our obligation and duty to show the society how environment...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani