Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe
>Maaskofu 32 wa Kanisa Katoliki Tanzania, wametoa waraka maalumu wa Pasaka wakiwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuheshimu maoni ya Watanzania yaliyomo katika Rasimu ya Katiba na kuweka pembeni itikadi za kisiasa katika mchakato wa kuandika Katiba Mpya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Askofu Mokiwa ataka Tume iheshimiwe
10 years ago
Mtanzania20 Oct
Maaskofu Katoliki wawagomea mashoga
VATICAN CITY, VATICAN
MAASKOFU wa Kanisa la Katoliki juzi waligoma kupitisha mabadiliko makubwa ya kihistoria kuhusu msimamo wao mkali dhidi ya masuala ya ushoga, utoaji mimba na wanandoa waliotalikiana.
Uamuzi huo,ulifichua uwapo wa pengo kubwa ndani ya kanisa hilo mwishoni wa mkutano huo wa wiki mbili.
Maaskofu wa kanisa hilo walikuwa wamekutana kujadili jinsi mafunzo ya kanisa hilo yanavyoweza kufanyiwa mageuzi ili kuambatana na maisha ya kisasa.
Hiyo ni pamoja na kukaribisha ‘zawadi na...
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Yametimia *Dk. Slaa awashambulia Ukawa, *Asema maaskofu Katoliki wamehongwa, Walutheri wana udini
NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, ametangaza kuachana na siasa huku akiwatuhumu viongozi wa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kuwa wamehongwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Dk. Slaa aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena, zikiwa zimepita siku 36 tangu aliposusia...
11 years ago
Habarileo21 Jan
Maaskofu wataka timuatimua kanisani
TIMUATIMUA inayoendelea kufanywa na Papa Francis katika benki ya Vatican, imevutia maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini ambao wameshauri katika miradi ya Kanisa hilo nchini, hata kama hiyo ichukuliwe kukitokea kutowajibika. Wakizungumza na gazeti hili hivi karibuni, maaskofu wa Kanisa hilo nchini walisema hatua aliyochukua Papa Francis ya kuondoa madarakani makadinali wanne waliokuwa wasimamizi wa benki ya Vatican ni nzuri.
10 years ago
Habarileo26 Dec
Maaskofu wataka JK aendeleze fagio lake
MAASKOFU wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini, wamepongeza uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kuwajibisha watendaji wake, huku wakimtaka asiishie kuchukua hatua kwa waliotajwa kuhusika na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow pekee, bali pia wazembe na wote wanaokutwa na tuhuma mbalimbali katika utawala wake.
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Jumuiya ya Kiislamu yaungana na maaskofu kumtetea Warioba
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Masheikh wataka maaskofu waliache Bunge lifanye kazi
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Paroko Katoliki ataka tume huru Arusha
11 years ago
Mwananchi01 Apr
JK: Sikuidhalilisha Tume ya Warioba