Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maaskofu Katoliki wawagomea mashoga

VaticanVATICAN CITY, VATICAN

MAASKOFU wa Kanisa la Katoliki juzi waligoma kupitisha mabadiliko makubwa ya kihistoria kuhusu msimamo wao mkali dhidi ya masuala ya ushoga, utoaji mimba na wanandoa waliotalikiana.

Uamuzi huo,ulifichua uwapo wa pengo kubwa ndani ya kanisa hilo mwishoni wa mkutano huo wa wiki mbili.

Maaskofu wa kanisa hilo walikuwa wamekutana kujadili jinsi mafunzo ya kanisa hilo yanavyoweza kufanyiwa mageuzi ili kuambatana na maisha ya kisasa.

Hiyo ni pamoja na kukaribisha ‘zawadi na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

>Maaskofu 32 wa Kanisa Katoliki Tanzania, wametoa waraka maalumu wa Pasaka wakiwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuheshimu maoni ya Watanzania yaliyomo katika Rasimu ya Katiba na kuweka pembeni itikadi za kisiasa katika mchakato wa kuandika Katiba Mpya.

 

9 years ago

Mtanzania

Yametimia *Dk. Slaa awashambulia Ukawa, *Asema maaskofu Katoliki wamehongwa, Walutheri wana udini

IMG_5657NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, ametangaza kuachana na siasa huku akiwatuhumu viongozi wa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kuwa wamehongwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

Dk. Slaa aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena, zikiwa zimepita siku 36 tangu aliposusia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi Kibaha wawagomea Tanroads

WAKAZI wa Kata ya Pangani na Maili Moja katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha, wamewazuia Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuweka mawe katika maeneo yao kabla hawajalipwa fidia. Maeneo hayo...

 

11 years ago

GPL

RC AAGIZA MASHOGA...

Na Francis Godwin, Iringa
SERIKALI ya Mkoa wa Iringa imeagiza  kukamatwa kwa wanawake wanaouza miili (ukahaba) na wanaume mashoga kama inavyofanywa na Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM,’ ya Global Publishers. Agizo hilo limetolewa hivi karibuni katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Iringa kilichofanyika katika Ukumbi wa Siasa ni Kilimo chini ya mkuu wa mkoa huo, Christine Ishengoma. Hayo yamekuja baada ya...

 

11 years ago

GPL

AUNT AKERWA NA MASHOGA

Stori: Emelder Tarimo KERO! Mtendea haki sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anakerwa sana na wanaume wenye hulka za kike (mashoga). Staa wa sinema za Kibongo Aunt Ezekiel. Akichonga na paparazi wetu, Aunt alisema mashoga wanamstaajabisha kwa jinsi wanavyojiweka na kujishaua katika jamii kitu ambacho anaamini ni tabia mbaya ambayo mtu anaweza kuiacha mara moja.
“Mashoga hunistaajabisha sana kwa kweli, kila...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashoga wapinga Urais wa Kutesa UN

Wakereketwa wa kutetea haki za watu wa jinsia moja nchini Uganda wamepinga kuchaguliwa kwa Waziri Sam Kutesa kama Rais katika UN.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gazeti lawataja 'mashoga' Uganda

Gazeti la udaku nchini Uganda la Red Pepper limechapisha orodha ya majina 200 wanayodai ni ya wale wanaojihusisha na mapenzi ya watu wa jinsia moja.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mswada wa kuwabagua mashoga wakatiliwa.

Gavana wa jimbo la Arizona nchini Marekani aukataa mswada ambao ungesababisha kubaguliwa kwa watu wa jinsia moja.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashoga wapinga sheria Uganda

Wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja, mawakili na wanasiasa wamewasilisha kesi mahakamani kupinga sheria mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani