TFF yatoa adhabu kwa watovu wa nidhamu
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetoa adhabu kwa timu, viongozi na wachezaji kwa utovu wa nidhamu,.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 300,000 (laki tatu- wastani wa dola 180) kwa kuzingatia Kanuni ya 14(9) ya Ligi Kuu kwa kutoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo (changing room) katika mechi namba 149 dhidi ya Kagera Sugar iliyochezwa Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga
Pia Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
TFF yawaadhibu watovu wa nidhamu
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
TFF yaadhibu kwa utovu wa nidhamu
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
TFF yaadhibu tisa kwa utovu wa nidhamu
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Uamuzi, adhabu TFF yajichanganya
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yaDToKVoFb4/VNSrgKe_dgI/AAAAAAAHCMM/v5Cbxu4E5vI/s72-c/MORRIS1.jpg)
KAMATI YA NIDHAMU TFF YAWAADHIBU JUMA NYOSO NA AGGREY MORRIS
![](http://1.bp.blogspot.com/-yaDToKVoFb4/VNSrgKe_dgI/AAAAAAAHCMM/v5Cbxu4E5vI/s1600/MORRIS1.jpg)
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia kati ya mechi tatu na nane wachezaji Juma Nyoso wa Mbeya City na Aggrey Morris wa Azam kutokana na makosa ya kinidhamu waliyoyafanya wakiwa uwanjani.
Nyoso ambaye alilalamikiwa na TFF kwa kumfanyia vitendo vya udhalilishaji mshambuliaji Elias Maguri wa Simba amefungiwa mechi nane za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL). Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia Ibara ya 57 na Ibara ya 11 (f) ya Kanuni za Nidhamu za TFF Toleo la...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
TFF yatoa ushauri kwa viongozi Copa Coca Cola
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-i95_RPlQwNo/U57bCwG4WjI/AAAAAAAFq_4/YBZVkd4SM-4/s72-c/unnamed.jpg)
TFF YATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA GEORGE MPONDELA
![](http://3.bp.blogspot.com/-i95_RPlQwNo/U57bCwG4WjI/AAAAAAAFq_4/YBZVkd4SM-4/s1600/unnamed.jpg)
Kwa mujibu wa klabu ya Yanga, Marehemu Mpondela anatarajiwa kuzikwa Alhamisi (Juni 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam, na msiba upo Kigamboni Mnarani.
Mpondela alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga katika uchaguzi uliofanyika mwaka 1994 baada ya...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vl2eElG4jLc/U43ZklXOhFI/AAAAAAAFnZc/hCNP2MwB8zY/s72-c/TFF+Logo.jpg)
TFF YATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA KIONGOZI WA FAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-vl2eElG4jLc/U43ZklXOhFI/AAAAAAAFnZc/hCNP2MwB8zY/s1600/TFF+Logo.jpg)
Chibura aliyezaliwa mwaka 1969 alikuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF akiwakilisha klabu za Mkoa wa Mara kupitia FAM. Aliwahi kuichezea Musoma Shooting, na baadaye kuwa kiongozi katika klabu hiyo na ile ya Polisi Mara...