Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uamuzi, adhabu TFF yajichanganya

Wakati Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) ikimfungia kucheza mechi tatu, mshambuliaji Haruna Chanongo na kumpiga faini ya Sh500,000, baadhi ya makocha na wachezaji wamepelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kukiuka kanuni za ligi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

TFF yatoa adhabu kwa watovu wa nidhamu

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetoa adhabu kwa timu, viongozi na wachezaji kwa utovu wa nidhamu,.

Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 300,000 (laki tatu- wastani wa dola 180) kwa kuzingatia Kanuni ya 14(9) ya Ligi Kuu kwa kutoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo (changing room) katika mechi namba 149 dhidi ya Kagera Sugar iliyochezwa Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga

Pia Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakala wa Fifa ashangaa uamuzi wa kamati ya TFF

Wakala anayetambulika na Shirikisho la Soka Kimataifa (Fifa), Ali Saleh amesema Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeteleza kumsimamisha mshambuliaji Emmanuel Okwi kuichezea Yanga katika mechi za Ligi Kuu na zile za kimataifa.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...

 

9 years ago

Habarileo

Nyosso kuongezewa adhabu

KLABU ya Azam FC imesema kuwa inajipanga kuchukua hatua za kisheria zaidi katika kufuatilia sakata la mchezaji wake John Bocco kudhalilishwa na mchezaji Juma Nyosso wa Mbeya City.

 

10 years ago

GPL

ISABELA ACHEKELEA ADHABU YA SHILOLE

Mwandishi Wetu BAADA ya msanii na muigizaji Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kufungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kitendo chake cha kucheza nusu utupu jukwaani, msanii mwenzake Isabela Mpanda amechekelea adhabu hiyo na kusema liwe fundisho kwa wengine. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1SN6ujM

 

10 years ago

BBCSwahili

''Pistrorius anastahili adhabu kali''

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius,''anapaswa kupewa adhabu ya kutosha kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp'', binamuye marehemu Reeva ameambia mahakama

 

9 years ago

Habarileo

Adhabu ya Blatter ndogo - Ndolanga

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Soka Tanzania (FAT) sasa (TFF) Alhaj Muhudin Ndolanga amesema adhabu waliyopewa vigogo wa soka duniani Sepp Blatter wa Fifa na Michel Platin wa Uefa ni ndogo. Kamati ya Maadili ya Fifa jana iliwafungia Rais huyo wa Fifa Blatter na Mwenyekiti wa Uefa Platini kutojihusisha na soka kwa miaka minane baada ya kukutwa na hatia katika masuala mbalimbali yakiwemo kujihusisha na rushwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Morocco yapinga adhabu za Caf

Morocco imepinga vikwazo ilivyowekewa na Caf kwa kushindwa kuandaa michuano ya Afcon ya mwaka 2015.

 

11 years ago

Mwananchi

Adhabu kwa vigogo CCM

Vigogo sita ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaanza kuhojiwa leo, huku wakikabiliwa na adhabu kadhaa ikiwamo ya kufungiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ikiwa watapatikana na hatia ya makosa yanayowakabili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani