Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Adhabu kwa vigogo CCM

Vigogo sita ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaanza kuhojiwa leo, huku wakikabiliwa na adhabu kadhaa ikiwamo ya kufungiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ikiwa watapatikana na hatia ya makosa yanayowakabili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CHIKAWE AIBOMOA NGOME YA CHADEMA NACHINGWEA,VIGOGO, WANACHAMA WAO WARUDI KWA KISHINDO CCM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (watano kulia waliosimama) akiwa na wanachama wapya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukikimbia chao cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Wananchama hao 23 wakiongozwa na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Wilaya ya Nachingwea na Kaimu Mwenyekiti wa Umoja wa Akina Mama wa chama hicho wilayani Nachingwea, Manufreda Malenga (watano kushoto waliosimama) walifanyiwa sherehe kubwa iliyofanyika...

 

10 years ago

Vijimambo

CCM YAWASIMAMISHA VIGOGO



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.

 

9 years ago

StarTV

Serikali kuongeza adhabu kwa wanaovunja sheria kwa kuzidisha mizigo

Serikali inatarajia kuongeza adhabu ya makosa ya uzidishaji mizigo inayosafirishwa kwenye magari kwa njia barabara kuwa kubwa kuliko thamani ya mizigo inayosafirishwa ili kukomesha vitendo vya ukiukaji wa sheria za usafirishaji ambao unasababisha uharibifu wa barabara nchini.

Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano amesema kabla ya kufanya maamuzi hayo, watakaa na wadau wa barabara kuwashirikisha uamuzi huo ili kuzifanya barababra nchini kuwa salama.

 Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi...

 

9 years ago

Mtanzania

Vigogo 32 CCM kumkabili Lowassa

KatuniNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeteua vigogo 32 kuunda kamati ya kampeni za mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli katika kuhakikisha kinashinda Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

Hatua ya kuteuliwa kwa kamati hiyo ambayo itakuwa chini ya uenyekiti wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, inaelezwa kuwa ni njia ya kukabiliana na nguvu za mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Umoja wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Adhabu kwa mke kwa kumtelekeza mume

Mwanamke mmoja nchini Kenya ameamrishwa na mahakama kumlipa mumewe dola 35 kama hela za kukidhi mahitaji yake na watoto wake kila mwezi.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yatengua matokeo majimbo ya vigogo

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetengua matokeo ya kura za maoni na kuamuru kurudiwa kwa uchaguzi katika majimbo matano, baada ya kubaini kulikuwa na ukiukwaji wa kanuni.

 

10 years ago

Habarileo

Vigogo CCM waanguka makundi maalumu

VIGOGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo wabunge wanaomaliza muda wao, wameanguka vibaya huku sura mpya zikiibuka katika kura ya maoni ya ndani ya chama hicho, kupata wabunge wa Viti Maalumu kutoka makundi maalumu uliofanyika juzi.

 

10 years ago

Habarileo

Vigogo wa urais CCM wageukia ubunge

Profesa Sospeter Muhongo.WIKI moja baada ya CCM kumteua Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, idadi kubwa ya washindani wake wamegeukia siasa za majimbo.

 

10 years ago

Habarileo

Vigogo serikalini, CCM Z’bar taabani

‘VIGOGO’ katika Serikali ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na watendaji wa CCM ni baadhi ya viongozi walioshindwa katika mchakato wa kura za maoni ndani ya chama hicho tawala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani