Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigogo CCM waanguka makundi maalumu

VIGOGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo wabunge wanaomaliza muda wao, wameanguka vibaya huku sura mpya zikiibuka katika kura ya maoni ya ndani ya chama hicho, kupata wabunge wa Viti Maalumu kutoka makundi maalumu uliofanyika juzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Vigogo waanguka

Matokeo ya awali ya kura za maoni kwa wagombea udiwani na ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika uchaguzi uliofanywa jana katika baadhi ya kata yameanza kutangazwa huku baadhi ya vigogo wakiangushwa vibaya.

Baadhi ya majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam, yamekuwa na upinzani mkali, ambapo aliyekuwa Mbunge wa Segerea, Dk. Makongoro Mahanga na Jimbo la Ukonga na aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa, wameanguka vibaya.

Katika matokeo hayo Jimbo la UKONGA: Anayeongoza ni Ramesh Patel...

 

10 years ago

Mtanzania

Vigogo CUF waanguka ubunge

Rajab-Mohamed-Mbarouk-2MOHAMED HABIB  MNYAA-MBUNGE MKANYAGENI.masoudNa Mwandishi Wetu, Zanzibar
MATOKEO ya awali ya kura za maoni kwa wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaowania Ubunge na Uwakilishi yameanza kutoka huku majina mapya yakichomoza kwa kupata ushindi dhidi ya wabunge wanaotetea nafasi zao.
Kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyopatikana mjini Unguja jana, Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa (CUF), amebwagwa katika kura za maoni kwa kupata kura 81 dhidi ya Othman Omar Haji ambaye alipata kura 95 na Suleiman Salim Shukuru akiambulia kura...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK apigania haki za makundi maalumu

RAIS Jakaya Kikwete ametoa wito kuhakikisha haki na ustawi wa Tanzania na hasa kwa makundi maalumu zinadumishwa na kuendelezwa nchini. Rais Kikwete alisema hayo juzi katika hotuba yake iliyosomwa kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mahitaji ya makundi maalumu kwa wagombea

Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikiwa zinaanza leo, makundi mbalimbali maalumu, yameeleza mambo ambayo wangetaka Serikali ijayo ingeyashughulikia ili kuwapunguzia ugumu wa maisha.

 

11 years ago

Dewji Blog

DC awaasa waumini kujali makundi maalumu Singida

DSC00258

Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi msaaada wa Mchele, Sukari, mafuta ya mboga na Sabuni uliotolewa na kanisa la AGT la mjini Singida kwa chuo cha wasioona na viziwi. Kushoto ni mkuu wa chuo cha wasioona na viziwi, Fatuma Malenga na kulia ni Afisa Ustawi mkoa wa Singida, Zuhura Kyaria.

Na Nathaniel Limu

Serikali ya wilaya ya Singida, imewataka wakazi wake kuimarisha utamaduni wa kuyasaidia kwa hali na mali, makundi yenye mahitaji maalum wakiwemo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bravo Msama kuyafariji makundi haya maalumu

WARATIBU wa matukio ya muziki wa Injili kupitia matamasha ya Pasaka na Krismasi, Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam, wiki iliyopita walikabidhi misaada ya kibinadamu kwa vituo...

 

9 years ago

Habarileo

Mawaziri 11 waanguka CCM

SASA ni dhahiri kuwa mawaziri 11 wa Serikali ya Awamu ya Nne inayomaliza muda wake, wametoswa katika mbio za kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kati yao wakiwemo watatu ambao kura katika majimbo yao zilirudiwa baada ya kulalamikiwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wahimizwa kusaidia makundi yenye mahitaji maalumu

DSC05830

Mwanyekiti wa Umoja wa Wanawake watumishi kanisa la Pentekoste (UWW) mjini Singida, Lessi Jared (kushoto) akimkabidhi vifaa tiba Kaimu mganga mfawidhi hospital ya mkoa ya mjini Singida, Dk.Daniel Tarimo.Vifaa tiba  hivyo vingi vikiwa kwa matumizi ya chumba cha upasuaji imedaiwa kuwa gharama yake ni mamilioni ya shilingi, vimetolewa na shirika lisilo la kiserikali la waumini wanawake kanisa Pentekoste nchini Denmark-Heart to Heart.

DSC05834

Mganga Kaimu mganga mfawidhi hospitali ya mkoa mjini...

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta aahidi nafasi zaidi kwa makundi maalumu

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta ameahidi kuwapa nafasi zaidi wajumbe wa Bunge hilo wanaotoka katika makundi maalumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani