Vigogo waanguka
Matokeo ya awali ya kura za maoni kwa wagombea udiwani na ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika uchaguzi uliofanywa jana katika baadhi ya kata yameanza kutangazwa huku baadhi ya vigogo wakiangushwa vibaya.
Baadhi ya majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam, yamekuwa na upinzani mkali, ambapo aliyekuwa Mbunge wa Segerea, Dk. Makongoro Mahanga na Jimbo la Ukonga na aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa, wameanguka vibaya.
Katika matokeo hayo Jimbo la UKONGA: Anayeongoza ni Ramesh Patel...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 May
Vigogo CUF waanguka ubunge
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
MATOKEO ya awali ya kura za maoni kwa wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaowania Ubunge na Uwakilishi yameanza kutoka huku majina mapya yakichomoza kwa kupata ushindi dhidi ya wabunge wanaotetea nafasi zao.
Kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyopatikana mjini Unguja jana, Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa (CUF), amebwagwa katika kura za maoni kwa kupata kura 81 dhidi ya Othman Omar Haji ambaye alipata kura 95 na Suleiman Salim Shukuru akiambulia kura...
10 years ago
Habarileo09 Aug
Vigogo CCM waanguka makundi maalumu
VIGOGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo wabunge wanaomaliza muda wao, wameanguka vibaya huku sura mpya zikiibuka katika kura ya maoni ya ndani ya chama hicho, kupata wabunge wa Viti Maalumu kutoka makundi maalumu uliofanyika juzi.
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Mawaziri waanguka
Na Waandishi Wetu, Dar, Mikoani
MAWAZIRI mbalimbali waliokuwa wanatetea nafasi zao za ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameangushwa katika kinyang’anyiro hicho.
Walioangushwa ni pamoja na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira aliyekuwa akitetea Jimbo la Bunda Mjini.
Wasira ameangushwa na Esther Bulaya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Wengine ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Kebwe Steven Kebwe (Serengeti) aliyeangushwa na Marwa Chacha Ryoba wa...
9 years ago
Habarileo15 Aug
Mawaziri 11 waanguka CCM
SASA ni dhahiri kuwa mawaziri 11 wa Serikali ya Awamu ya Nne inayomaliza muda wake, wametoswa katika mbio za kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kati yao wakiwemo watatu ambao kura katika majimbo yao zilirudiwa baada ya kulalamikiwa.
9 years ago
Mtanzania12 Sep
Msikiti wa Makka waanguka, waua 65
MAKKA, SAUDI ARABIA
MSIKITI Mkuu wa Makka ambao waumini wa dini ya kiislamu wamekuwa wakiutumia kufanyia Hija umeanguka na kuua watu 65 huku wengine wanane wakijeruhiwa vibaya katika tukio lililotokea jana nchini Saudi Arabia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC chanzo cha tukio hilo ni winchi lililokuwa linatumika katika ukarabati wa msikiti huo kupata hitilafu na kuangukia jengo la msikiti huo.
Mamlaka za usalama nchini humo zimethibitisha kutokea...
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Wabunge 51 waanguka kura za maoni
10 years ago
Mwananchi03 Aug
Mawaziri watano waanguka kura za maoni
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Kabaka, Nyangwine waanguka kura za maoni
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Bilal, Magufuli, Kova waanguka na helikopta
VIONGOZI wanne wa kitaifa, wamenusurika kufa baada ya helikopta waliyopanda kwa ajili ya kukagua na kuangalia athari za mafuriko jijini Dar es Salaam, kuanguka wakati ikitaka kuruka. Helikopta hiyo ambayo...